WTF!! Jacque Maribe charged with murder!!

WTF!! Jacque Maribe charged with murder!!

Remember the Beautifull Esther Arunga? A madman snatched her away from the Tv. screens before I was through with lusting after her in my early teenage years. [emoji23]
Ill never forgive the bastard with his Finger of God Church and his Placenta Party! 😡 What a waste!

Kumbe tupo wengi mafisi, I hated that guy with passion, aki back then had I met him would have smacked shit out of his face. That girl was so cute....there are moments I didn't even bother with what she was saying when reading the news, I used to sit there mesmerizing at her beauty and her lips.

https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2016/01/90955_fcdca88bb3576490af1ab9918d22479f.jpg
 
Jombaa MK254, bila shaka hiyo link uliyoichapia hapo lazima ni kutoka Ktalk, wali'censore' kila kitu kutoka site hiyo zamani sana. Jf buana.
 
Interested karibia kila siku hii habari inarushwa itv
 
Jombaa MK254, bila shaka hiyo link uliyoichapia hapo lazima ni kutoka Ktalk, wali'censore' kila kitu kutoka site hiyo zamani sana. Jf buana.

Itakua wanazuia compe maana ile siku JF ilipigwa chini, watu walitiririka kwenda huko Ktalk.
 
Remember the Beautifull Esther Arunga? A madman snatched her away from the Tv. screens before I was through with lusting after her in my early teenage years. [emoji23]
Ill never forgive the bastard with his Finger of God Church and his Placenta Party! 😡 What a waste!

Kumbe tulikuwa wengi tuliokuwa tunamezea mate dada huyo nyakati zile?
Esther Arunga.....

Who would have thought that Esther,that miss goody two shoes, cute, curvatious lady was actually mentally deranged, headed to self-destruction on autopilot?
I wouldnt have been surprised if it was Lilian Muli, but Esther? That outstanding newscaster, and and a lawyer, admitted to the bar, just months before the scandals. How could she be possibly brainwashed like that?

She must have had an underlying mental issue those two cultists discovered and exploited. In the end, this.......

Esther Arunga Arrested in Australia After Mysterious Death of 3-Year Old SON

And then, there was Louis Otieno.....

Lakini Jeff Koinange survived, and even reinvented himself to this legendary Kenyan tv presenter that he is now...
 
platozoom, Nadhani remarks kama hizo za ziada zinakubalika kisheria na sidhani huwa zinawekwa kwenye kumbukumbu kama hukumu. Bali ni jukumu la mahakama kuwataarifu wengine ambao watajipata kwenye 'situation' kama hiyo. Jamaa mwenyewe hakuwa anaonesha heshima kwa mahakama, jambo ambalo ni dharau la wazi kwa hakimu.

Hapana.

Remarks kama hizo ni apposite kwenye sentencing tu.

Kwa sababu hapo mtuhumiwa anakuwa keshapatikana na hatia.

Kabla ya hata kesi kuanza, maneno kama hayo toka kwa hakimu/ jaji yanaweza kabisa kuwa ni prejudicial.

That was a professional misconduct, period.
 
Yep! Jackie Maribe, ila huyu jamaa atabaki ndani. Hakimu alitumia maneno makali sana alipokuwa akimnyima dhamana. Alimuita 'male version of a slay queen'.! [emoji15]
aiseeee eti male version oof a slay queen,lkn kweli hakimu yuko sahihi.Naona Jackie atatoka salama kwenye hii kesi ila Jowie lazima aende na maji. Wanawake sometimes huwa wanapenda vibaya sana
 
aiseeee eti male version oof a slay queen,lkn kweli hakimu yuko sahihi.Naona Jackie atatoka salama kwenye hii kesi ila Jowie lazima aende na maji. Wanawake sometimes huwa wanapenda vibaya sana
Hakimu aliongezea na, 'a woman eater', hahaha! [emoji1] Yimekula kwake.
 
platozoom, Nadhani remarks kama hizo za ziada zinakubalika kisheria na sidhani huwa zinawekwa kwenye kumbukumbu kama hukumu. Bali ni jukumu la mahakama kuwataarifu wengine ambao watajipata kwenye 'situation' kama hiyo. Jamaa mwenyewe hakuwa anaonesha heshima kwa mahakama, jambo ambalo ni dharau la wazi kwa hakimu.
Case sensitive kama hiyo hakutakiwa kutoa kauli kama hiyo. Kwanza hata kesi haijaanza rasmi. Nani ana ushahidi pasi na shaka kuwa Jowie hana makazi rasmi
 
Now this is a shocker!

Mwanahabari wa Citizen, mwanadada Jacque Maribe na mpenzi/ mchumba wake, Joseph Irungu, wameshitakiwa kwa mauaji ya Monica Kimani.

Haya mapenzi haya....acha kabisa.

Who’d have thunk it???

"THUNK" is a non-existent word in the English vocabulary. You might want to work on your tenses.
 
That guy is telling you the truth. Thunk is dialect from some regions. Correct English think-thought-thought

Who said we can’t use slang or any other dialects of languages in these forums?

People [in my neck of the woods, at least] use these variants all the time.

Do you actually think I don’t know what is considered proper English?

Stop being so uptight. This is not a PhD dissertation presentation.

Now the question becomes, whodunnit??????

Criticize that one also....
 
I was not criticizing you that's why I said it is dialect. What captured my attention is how you reacted to the former above.
You can use any language even spinach and sukuma languages. There is freedom here to do so.
 
I was just letting him/ her know that I am actually not ‘wrong’.

And I did so [[letting him/ her know] with authority so not be accused of just making it up.

Now, whodunnit????
 
I was just letting him/ her know that I am actually not ‘wrong’.

And I did so [[letting him/ her know] with authority so not be accused of just making it up.

Now, whodunnit????
Am not in the mood for arguments right now especially those that involves languages. Remind me tomorrow. We will discuss
 
Back
Top Bottom