Wtoto wa Digital

Wtoto wa Digital

Uyo dogo namjua vizuri ndo yule aliulizwaga na ticha wa civics, "what is family?" akajibu "family is a medicated soap"....nashangaa mpaka leo hajaacha uchizi wake
 
Yaah ... kumbe na wewe unamjua ee!
 
Back
Top Bottom