WW3: Diamond Platnumz Vs Diva

Kwani huyo Diva ni mara ngapi amekuwa akimsakama Diamond?! Kwani anavyofanya yote hayo kwa sababu anakuwa amemjibu?!Mtu anafikia hadi kufitinisha mahusiano; yaani uache kumpa kubwa eti kisa watasema jamaa Mswahili?! Kwa mtu kama wewe ni rahisi sana kusema usemayo lakini kwa tabia ya Diva, labda uchague kumpiga makofi halafu yazuke mengine zaidi!! Na tatizo la yule demu ni ile tabia yake ya kujihisi yupo too classy, wakati si lolote si chochote!
 
Unajua Diamond namkumbali ila tatizo ana kiki za kindezi. Kwa sasa kiki naona zimeisha, nona anajifanya kurudisha urafiki na Mwarabu Fighter, Kifesi na Qboy. Lakini hii kiki haijavuma sana. Kwahiyo mwaka huu atajitahidi kwenda kuwaona Tiffa na Nillan
mmmmh sasa diamond kweli wakutafuta kiki kwa Q boy or mwarabu fighter
huu ni utani na acha dharau yan hao watu hata me nionane nao sishtuki sa sijui nashtukaje nnapowaona na Mond...?
 
Diamond alichofanya ni sahihi mtu akiwa ana shobo na wewe onesha kwamba sitaki unishobokee na sizani Kama atarudia Tena nimeenda kwenye page yake amefyata na watu wengi wanamtukana sana.
 
mmmmh sasa diamond kweli wakutafuta kiki kwa Q boy or mwarabu fighter
huu ni utani na acha dharau yan hao watu hata me nionane nao sishtuki sa sijui nashtukaje nnapowaona na Mond...?
Huyo jamaa atakuwa kapiga konyagi
 
Unajua uongo mwingine ni ktk kuijenga brand yako kuonekana ina tthamani na ndio Mond anachokifanya kwa hiyo usishangae hilo ndugu
Kwanza kwangu sioni uongo wowote pale!! Ni nani kathibitisha kwamba ni uongo?! Yaani screenshot iliyowekwa na Diva iwe ndo confirmation?! Haijulikani kama ni email screenshot, au sijui ni nini! Kituko kingine, tunaona tu aliyekuwa addressed (To:...) jina lake limefutwa, lakini juu yake kuna jina la Sallam!

In addition, hivi bei ya show huwa inakuwa flat kati ya sehemu moja na nyingine?! Takribani miaka 3 iliyopita magazeti ya Kenya yalilalamika Diamond kulipwa pesa nyingi maradufu kulinganisha na wasanii wa Kenya kwa show ambayo ilifanyika Mombasa! Kwa mujibu wa magazeti ya Kenya, Diamond alilipwa KSH 5000, ambayo ni zaidi ya shilingi 100M za Kitanzania!!

Sasa kama miaka 3 iliyopita aliweza kulipwa zaidi ya Sh. 100M za Kitanzania, ni zuzu tu ndie anaweza kutoa povu baada ya Diamond kusema analipwa Sh. 168M kwa sababu hata ukiwa Bongo, pesa utakayotoza Dar es salaam ni tofauti na pesa utakayotoza kwa show itakayopigwa mkoa! Mtu smart angehoji hiyo 168M kalipwa kwenye show ipi, lakini hawezi kupinga kwa kutumia screenshot inayosema amelipwa Pound 25K ambayo ni zaidi ya 75M za Kitanzania!
 
Diamond alichofanya ni sahihi mtu akiwa ana shobo na wewe onesha kwamba sitaki unishobokee na sizani Kama atarudia Tena nimeenda kwenye page yake amefyata na watu wengi wanamtukana sana.
Mi simlaumu kabisa kwa sababu Diva kidomodomo sana! na yule mwanamke angekuwa mzuri, na shule kichwani ipo; wakati wangepata taabu sana! Kwa bahati mbaya kabisa, Mungu kamnyima sura hadi akili za darasani na matokeo yake amebaki kazi ya kujichubua hadi anakera!! Kuna wakati sijui alikuwa anasoma diploma ya journalism (juzi juzi tu hapa) basi kwenye kipindi chake kila siku kelele kwamba anasoma!!!
 
Naomba nijue wapi diamond amesema yeye analipwa 168 m nionesheni please.
 
Kwa mfano Dudubaya kila akiamka huwa anawasema clouds au B12 lakin hakuna siku utasikia wamemjibu maana wanajua ukibishana na mtu ambae unajua mko level tofauti utadhalilika so Diamond atulie tu kama vile haoni hadi atakapochoka mwenyewe
Hivi unaweza kulinganisha mara ngapi Dudu anawasema hao Clouds na anavyofanya Diva?! Hivi huyu demu wewe umeshawahi kumfuatilia, au?! Binafsi, nilikuwa sijui kabisa kwa sababu huwa simfuatiliagi huyu demu! Hata kipindi chake, huwa nasikiliza kwa accident kwa sababu kinafuatia soon after Sport Extra!

Siku nimefahamu ilikuwa ni zaidi ya miaka 3 iliyopita kwenye kipindi cha XXL! B-Dozen anamuuliza Diva kwani una matatizo gani na Diamond mbona huwa unamsema vibaya sana Instagram!!

Now imagine, zaidi ya miaka 3 iliyopita, na hadi Watangazaji wenzake wanafahamu kwamba huwa anamsakama Diamond mitandaoni! Je, alianza lini hiyo kazi! Na bado hadi kesho anaendelea!!

Guys, ni rahisi sana kwako kusema kwanini anamjibu mtu kama yule! Diamond ingekuwa ni mtu wa kupenda kujibishana na Diva badi ingekuwa kila leo huko Instagram kunanuka! Ukiona kamjibu basi jua kawa fed-up! Kwa mfano Diva hadi anafikia kuingilia mahusiano yake na Tanasha!!! Narudia, ni rahisi sana kwenu kusema kwanini asimpuuze kwa sababu nyie hayajawakuta ya vidomodomo aina ya Diva! Diamond nae ni Diamond na wala sio Malaika! Hata Papa Francis juzi tu hapa nae ali-panic baada ya yule mwanamke kuung'ang'ania mkono wake, seuze Diamond ku-panic dhidi ya kashifa! Na kwa kawaida ni rahisi sana kuvumilia physical attacks lakini sio psychological attacks!

Ndo maana nasema kwa mtu kama Diva, kama unaona kubishana nae how come, basi unamlia timing tu, unamtia makofi kisawasawa kama alivyokuwa ametiwa makofi Mange Kimambi!! Lakini hata hapo tena, wataibuka watu na kusema "mwanaume unampiga vp mwanamke bhana!"
 
Kumbe kweli jamaa halipwi 168 mil [emoji46]

Alafu kumbe yeye ni balozi tu katika wasafi media[emoji50][emoji50]

Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond ni one of the shareholder wa wasafi tv& radio, iwe Ana share ya 50% au 10% lkn haibadilishi ukweli kwamba na yeye ni owner. Kwa uelewa wangu hao shareholders wengine wanamuhitaji Diamond zaidi ktk hy biashara klk Mond anavyowahitaji wao. Of all artists in the country , kwanini wameamua ku partner na Mond? Lazima Kuna some potentials wameziona kwake dhidi ya wengine.

Diva atabaki kuwa ni cheap na fake bi*'*ch who's struggling to look like celebrity, Yani anafake maisha fln ambayo hana hadi inatia kichefu chefu, she is so illusional, hana tofauti kubwa Sana na Dr. Shika isipokuwa jinsia na usomi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe kweli jamaa halipwi 168 mil [emoji46]

Alafu kumbe yeye ni balozi tu katika wasafi media[emoji50][emoji50]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu ana 45% ya share we unasema ni Balozi?! Nyie watu mnashangaza sana!! Btw, amekuthibitishia nani kwamba halipwi hiyo pesa?! Yaani screenshot ya Diva inayosema show ya wapi sijui ni Pound 25K?! Diva yule yule aliyewadanganya kwamba Diamond ni Balozi tu Wasafi Media huku akifahamu fika kwamba ana share zake pale! Na aliwaambia nani kwamba kiwango ambacho msanii analipwa kinakuwa flat popote atakapoenda?! Kwahiyo kwavile Diva kaona Birmingham kalipwa 75M basi ndo kila anapoenda huwa analipwa hivyo?!
 

Mkuu jamaa ana 45%
 
Mkuu, ya mange kula mabanzi ilinipita, alipigwa Na Nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena binafsi nina hamu sana ya kuona hiyo clip! Na hata kama amesema, kwangu hiyo sio issue bali ningependa kufahamu aliongea hivyo kwa context ipi.
Hiyo taarifa nimeona kwenye Swahili times na citizen ya Kenya nasijawahi kumsikia diamond akitaja price ya show yake na Kama ingekuwa hivyo ingetrend na asilimia 90 tungepata lakini ukimuuliza mtu hajui ni vizuri tukahoji hiv vyombo waliyo toa hii taarifa wamepata wapi?
 
Babu hawajui maisha ya mbele hapo wanajua rahisi rahis tu mpka uje utoboe Ni issue

Ndio maana wajanja wanaenda kwa Target miaka yao 4 wanageuka na mpunga wa kutosha wanakuja tengeneza mambo tz huku

Kule wanaenda kutembea tu si Kaz tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…