WW3: Diamond Platnumz Vs Diva

WW3: Diamond Platnumz Vs Diva

Wasanii kuongopa ni jadi yao mbona kwa sisi tunaokaa nao mitaani tunawajua ful maisha yao mbona we cha msingi msanii akikwambia kafanya jambo flani we jiongeze tu akili yako kwa sababu Mond kuongopa tumeshamzoea ila kwa sababu haituathiri kwa namna moja sio mbaya
artist wanaoishi bila ku fake maisha duniani ni wachoraji tu labda uchizi tu ndo huwa unawasumbua
 
Halafu inaonekana wasanii wa bongo ni masikini sana,yaani kibongobongo muziki haulipi kabisa yan
 
Kumvumilia mtu kama Diva unatakiwa sijui uwe na moyo wa aina gani manake, wakati Diva huwa anamuandama Diamond mwaka hadi mwaka, ni nadra sana ukute Diamond kamjibu! Kwa kumbukumbu zangu, ingawaje back in the days mara kwa mara Diva alikuwa anamshambulia Diamond Instagram, Diamond kwa upande wake alimpa kubwa mara moja tu tena studio za Mawingu alipomwambia live kwamba ni hadi "nikukaze"! Tena ile siku ni B12 ndie alianzisha baada ya kumuuliza Diva kwani ana tatizo gani na Diamond!!

Hii ya sasa kwa Diamond sijafuatilia lakini kama kamjibu, basi itakuwa ni mara ya pili! Sasa uliza ni mara ngapi Diva amekuwa akimwandama Diamond! Na hii ya sasa Diva alifika mbali zaidi kwa kuingilia hadi mahusiano ya Diamond!!!

Chifu, ni rahisi sana kwako kusema hivyo but trust me kwa mtu kama Diva labda uwe na moyo wa Yesu ndo utaweza kumvumilia kwa 100%! Ajabu ni kwamba, sijui tatizo lake ni nini!! Yule ingekuwa ndo wengine, dawa yake unamweka mtu kati, unamlamba makofi barabara halafu unamwambia aende polisi.
dawa ni kumkaza tu hakuna namna nyingine
 
Mtu ana 45% ya share we unasema ni Balozi?! Nyie watu mnashangaza sana!! Btw, amekuthibitishia nani kwamba halipwi hiyo pesa?! Yaani screenshot ya Diva inayosema show ya wapi sijui ni Pound 25K?! Diva yule yule aliyewadanganya kwamba Diamond ni Balozi tu Wasafi Media huku akifahamu fika kwamba ana share zake pale! Na aliwaambia nani kwamba kiwango ambacho msanii analipwa kinakuwa flat popote atakapoenda?! Kwahiyo kwavile Diva kaona Birmingham kalipwa 75M basi ndo kila anapoenda huwa analipwa hivyo?!
Diva hata alalame vipi hajawahi shika hizo 75m

Wala msanii wake asiyependa kujionyesha asiyeyepnda show off hajawahi lipwa pesa hio per show .

Fake bitch ,fake celebrity, dunderhead presenter



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom