jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Sasa uonemshwe risit we Mke wakeWatu mnamtukana sana Diva. Amewaletea ushahidi kwamba Diamond halipwi Tshs 168 million kama anavodai. Cha kufanya Diamond aoneshe receipt ili Diva aonekane ni muongo. Simple as that!
Sent using Jamii Forums mobile app
artist wanaoishi bila ku fake maisha duniani ni wachoraji tu labda uchizi tu ndo huwa unawasumbuaWasanii kuongopa ni jadi yao mbona kwa sisi tunaokaa nao mitaani tunawajua ful maisha yao mbona we cha msingi msanii akikwambia kafanya jambo flani we jiongeze tu akili yako kwa sababu Mond kuongopa tumeshamzoea ila kwa sababu haituathiri kwa namna moja sio mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanaume gani atatulia kwa mwanamke anaejiona mzuri/mzungu koko wakati K yake ipo kama sufuria ya makande.
[emoji23][emoji23][emoji23]artist wanaoishi bila ku fake maisha duniani ni wachoraji tu labda uchizi tu ndo huwa unawasumbua
Wewe ndo akili huna akuoneshe risiti wewe Kama Nani?Miaka 4 upo JF lakini bado akili huna!
Halafu inaonekana wasanii wa bongo ni masikini sana,yaani kibongobongo muziki haulipi kabisa yan
Kiba hua hapendi tu kujionyesha tu,kuna kipindi wkt Michael Jackson akiwa hai aliwahi kumtumia ticket alikiba aende US wakarekodi ngoma ila Kiba alimtosa akamwambie yuko bize kutengeneza wimbo wake wa Mac Muga.Huko Insta, Diva anasema kuna collable ya Kiba na Rihanna inakuja
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dada kiukwel simpendagi Sana lakini pia mambo yake anayofanya anachafua taswira ya media anayofanyia kazi
dawa ni kumkaza tu hakuna namna nyingineKumvumilia mtu kama Diva unatakiwa sijui uwe na moyo wa aina gani manake, wakati Diva huwa anamuandama Diamond mwaka hadi mwaka, ni nadra sana ukute Diamond kamjibu! Kwa kumbukumbu zangu, ingawaje back in the days mara kwa mara Diva alikuwa anamshambulia Diamond Instagram, Diamond kwa upande wake alimpa kubwa mara moja tu tena studio za Mawingu alipomwambia live kwamba ni hadi "nikukaze"! Tena ile siku ni B12 ndie alianzisha baada ya kumuuliza Diva kwani ana tatizo gani na Diamond!!
Hii ya sasa kwa Diamond sijafuatilia lakini kama kamjibu, basi itakuwa ni mara ya pili! Sasa uliza ni mara ngapi Diva amekuwa akimwandama Diamond! Na hii ya sasa Diva alifika mbali zaidi kwa kuingilia hadi mahusiano ya Diamond!!!
Chifu, ni rahisi sana kwako kusema hivyo but trust me kwa mtu kama Diva labda uwe na moyo wa Yesu ndo utaweza kumvumilia kwa 100%! Ajabu ni kwamba, sijui tatizo lake ni nini!! Yule ingekuwa ndo wengine, dawa yake unamweka mtu kati, unamlamba makofi barabara halafu unamwambia aende polisi.
ππππ
wewe je?
Diva hata alalame vipi hajawahi shika hizo 75mMtu ana 45% ya share we unasema ni Balozi?! Nyie watu mnashangaza sana!! Btw, amekuthibitishia nani kwamba halipwi hiyo pesa?! Yaani screenshot ya Diva inayosema show ya wapi sijui ni Pound 25K?! Diva yule yule aliyewadanganya kwamba Diamond ni Balozi tu Wasafi Media huku akifahamu fika kwamba ana share zake pale! Na aliwaambia nani kwamba kiwango ambacho msanii analipwa kinakuwa flat popote atakapoenda?! Kwahiyo kwavile Diva kaona Birmingham kalipwa 75M basi ndo kila anapoenda huwa analipwa hivyo?!
Wimbo Gani mkuu, ebu tupia hako ka Clip nikachekimkuu umeongea bonge LA point Sema dai sijui kama anaweza vumilia maana kasha jirekodi anaimba wimbo wa alikiba wakat ashaambiwa UNIKOME
Hahahahaha daaahKiba hua hapendi tu kujionyesha tu,kuna kipindi wkt Michael Jackson akiwa hai aliwahi kumtumia ticket alikiba aende US wakarekodi ngoma ila Kiba alimtosa akamwambie yuko bize kutengeneza wimbo wake wa Mac Muga.
Sent using Jamii Forums mobile app