WWC Final: Japan vs USA

WWC Final: Japan vs USA

Wamekosa nne mfululizo......hii ishawahi kutokea kweli? Very unreal....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
...Brazil hovyo kabisa leo, kama Argentina jana..aaaaarrgghhhh!
 
Kama wakija na hii timu 2014 licha ya kombe la dunia kufanyika kwao lazima watachemsha....
 
Kama wakija na hii timu 2014 licha ya kombe la dunia kufanyika kwao lazima watachemsha....

Wanahitaji kufanya mabadiliko makubwa sana kati ya sasa na 2014 vinginevyo itakula kwao. Sitashangaa nikisikia kocha katemwa.
 
Wamekosa nne mfululizo......hii ishawahi kutokea kweli? Very unreal....

...pamoja na kulalamikia penalt spot, mbona wenzao wamebahatisha mawili?...aaahh...uhondo umeishia hapa sasa...
nawapa nafasi Uruguay.
Penalt za Brazil zilikuwa chini ya kiwango,....all tournament walim-hype sana Neymar,...leo mpira ulimkataa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Watalalamikia penalty spot kuwa ilikuwa na matatizo, ila hii timu ya wabrazil mbovu kweli kweli.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Watalalamikia penalty spot kuwa ilikuwa na matatizo, ila hii timu ya wabrazil mbovu kweli kweli.

Evidently hiyo spot haikuleta matatizo kwa Paraguay.....lol. Wakubali tu timu yao haikuwa nzuri kwani ingekuwa nzuri wasingefika hata kwenye muda wa ziada
 
Fantastically and majastically Japan becomes the new Champions of the WWC
 
Final Tournament standings

Winner Japan
Runners-up USA
Third Sweden
Fourth France

Adidas golden ball
1:Homare SAWA(Japan)
2:Abby WAMBACH (USA)
3:hope SOLO (USA)

Adidas golden Boot
1:Homare SAWA (Japan)
2:Abby WAMBACH (USA)
3:MARTA (Brazil)

Golden Glove
1:Hope SOLO (USA)

Best Young Player Award
Caitil FOORD (AUSTRALIA)

FIFA fair play award
JAPAN

Wanahitaji kufanya mabadiliko makubwa sana kati ya sasa na 2014 vinginevyo itakula kwao. Sitashangaa nikisikia kocha katemwa.
Timu yao ni mbovu sana inahitaji mabadiliko makubwa sana. I think it's time to bring Scolari back in the hot seat
 
Final Tournament standings

Winner Japan
Runners-up USA
Third Sweden
Fourth France

Adidas golden ball
1:Homare SAWA(Japan)
2:Abby WAMBACH (USA)
3:hope SOLO (USA)

Adidas golden Boot
1:Homare SAWA (Japan)
2:Abby WAMBACH (USA)
3:MARTA (Brazil)

Golden Glove
1:Hope SOLO (USA)

Best Young Player Award
Caitil FOORD (AUSTRALIA)

FIFA fair play award
JAPAN

japanese are deserve to champs..
 
Back
Top Bottom