www.bukobawadau.blogspot.com na MC BARAKA

www.bukobawadau.blogspot.com na MC BARAKA

jambia

Member
Joined
Oct 27, 2010
Posts
72
Reaction score
6
Wadau naomba mtembelee blog ya bukobawadau.blogspot.com na kumshauri mwendeshaji wa blog hiyo maana kwa jinsi ilivyoanza wadau tulidhani ni kwa ajili ya maendeleo ya watanzania kwa ujumla. Hadi sasa tunashindwa kujua inaelekea kwenye udaku au lengo la awali.
 
Mkuu nakupa 100%. Juzi tu nimetoka kumtext kwa ushauri ambao naamini utamsaidia kama atakubali kurekebika.

Huyu bwana ilifika kipindi nikamkumbusha umuhimu wa wasomaji wa blog yake kwake na umuhimu wa kuwaelewa. Na sahivi blog yake ni kati ya blog zilizosalia kwa kiasi kikubwa kurusha sherehe za harusi, misiba na masuala mengi yasiyo na tija sana kwa jamii yake. Watu wanataka maendeleo na kuwa updated katika masuala lukuki lakini bwana Baraka kama haelewi vile. Na anashindwa kuiga wenzie wanafanya nini, wamejaribu kuzifanya blogs zao ziwe vituo vya taharifa (info.centers) za kila kitu katika jamii. Zinahamasisha, zinaburudisha na kuelimisha kweli kweli. Na pia anasahau kwamba zilikuwepo blogs kibao na leo zimesalia majina tu.

Ushindani ndo maisha kwa sasa na kama hutoweza basi kasi itakutema tu.
 
Back
Top Bottom