Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nakupa 100%. Juzi tu nimetoka kumtext kwa ushauri ambao naamini utamsaidia kama atakubali kurekebika.Wadau naomba mtembelee blog ya bukobawadau.blogspot.com na kumshauri mwendeshaji wa blog hiyo maana kwa jinsi ilivyoanza wadau tulidhani ni kwa ajili ya maendeleo ya watanzania kwa ujumla. Hadi sasa tunashindwa kujua inaelekea kwenye udaku au lengo la awali.