Wadau naomba mtembelee blog ya bukobawadau.blogspot.com na kumshauri mwendeshaji wa blog hiyo maana kwa jinsi ilivyoanza wadau tulidhani ni kwa ajili ya maendeleo ya watanzania kwa ujumla. Hadi sasa tunashindwa kujua inaelekea kwenye udaku au lengo la awali.