www.hlssf.org jaman hili shrika n kwel linatoa mkopo?

www.hlssf.org jaman hili shrika n kwel linatoa mkopo?

enoc

Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
86
Reaction score
5
Jaman kama kuna mtu anapewa mkoo na hawa jamaa anyoshe kidole na anhakkshie au ka kuna mtu analjua fresh bac naomba anpe detail zake mana cjawaelewa hata kama ntawaelewa bac cjawaamini.
 
hao ni matapeli 2 mkuu,wangekua serious wangejitangaza kwenye vyombo vya habari!otherwise wanataka kutapeli watu tu.

Ndo yale yale ya DESI, walio omba tusubiri tuone
 
hao ni matapeli 2 mkuu,wangekua serious wangejitangaza kwenye vyombo vya habari!otherwise wanataka kutapeli watu tu.

ila hlo nalo neno mana ukiangalia gharama mpaka upate mkopo wanakua wamekutoa damu mana n kama 30,000/= hesabu hao wa2 wote n bonge la dl
 
Hawa jamaa me siwaamin,leo nlikua na rafiki yangu tukawapgia simu,eti wanasema wao majina ya mikopo watayatoa mwezi wa 10 katikati,tukawaulza vipi kuhusu wale ambao wameaply na wanafungua vyuo vyao mwez huu mwishon au wa kumi mwanzon,walichotujbu,mungu ndio ajuaye!mlio apply hapo jihesabuni mmeishatapeliwa tu.
 
Back
Top Bottom