Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mmmh!! ChumviMzize ndiye mshambuliaji bora kwa sasa kwenye ukanda huu
Kibu hana utulivu nguvu nyingi kama yupo majarubani....Sijui kwanini timu za nje hazimuoni Feisal na Kibu D. Kwa mtazamo wangu ndio wachezaji wazawa wenye viwango vikubwa kuliko wote .
Kama wapo serious tutawapa Nkane na KibabageKlabu ya Wydad Athletic Club imewasiliana tena na Yanga kwa ajili ya kupata saini ya wachezaji wawili, Clement Mzize na Stephane Aziz Ki.
View attachment 3196304
Pia, Soma: Hawa ndio Wachezaji Wazawa ghali zaidi Ligi Kuu Tanzania, Vilabu vikubwa Afrika vyawatolea macho
View attachment 3196302
Sasa hivi ameonekana ku matureKibu hana utulivu nguvu nyingi kama yupo majarubani....
Feisal naye vipi mbona haendi nje, maana sisi Simba tunaamini ana ubora kuliko MbapeKibu hana utulivu nguvu nyingi kama yupo majarubani....
Eti kibu D..!!Sijui kwanini timu za nje hazimuoni Feisal na Kibu D. Kwa mtazamo wangu ndio wachezaji wazawa wenye viwango vikubwa kuliko wote .
Kibu!!??Sijui kwanini timu za nje hazimuoni Feisal na Kibu D. Kwa mtazamo wangu ndio wachezaji wazawa wenye viwango vikubwa kuliko wote .
Weka ushabiki pembeni, yule kibu D hata machava hawatamani kuwa nae.Sijui kwanini timu za nje hazimuoni Feisal na Kibu D. Kwa mtazamo wangu ndio wachezaji wazawa wenye viwango vikubwa kuliko wote .
Yanga waanze kuzisikiliza izo ofa mwishoni mwa msimu huu but sio kwenye hili dirisha dogo wakati ambao timu inapambana kufuzu robo fainali na wachezaji hao ni muhimu,,na pia sio kazi rahisi kupata replacement yao kwenye hili dirisha dogo!Klabu ya Wydad Athletic Club imewasiliana tena na Yanga kwa ajili ya kupata saini ya wachezaji wawili, Clement Mzize na Stephane Aziz Ki.
View attachment 3196304
Pia, Soma: Hawa ndio Wachezaji Wazawa ghali zaidi Ligi Kuu Tanzania, Vilabu vikubwa Afrika vyawatolea macho
View attachment 3196302