Tetesi: Wydad AC yatuma ofa Yanga kwa wachezaji wawili Aziz Ki na Mzize, Yanga yasema kila mmoja ni TSh. Bilioni 1.993

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Klabu ya Wydad Athletic Club imewasiliana tena na Yanga kwa ajili ya kupata saini ya wachezaji wawili, Clement Mzize na Stephane Aziz Ki.
IMG_2403.jpeg

Pia, Soma: Hawa ndio Wachezaji Wazawa ghali zaidi Ligi Kuu Tanzania, Vilabu vikubwa Afrika vyawatolea macho

IMG_2402.jpeg
 
Klabu ya Wydad Athletic Club imewasiliana tena na Yanga kwa ajili ya kupata saini ya wachezaji wawili, Clement Mzize na Stephane Aziz Ki.
View attachment 3196304
Pia, Soma: Hawa ndio Wachezaji Wazawa ghali zaidi Ligi Kuu Tanzania, Vilabu vikubwa Afrika vyawatolea macho

View attachment 3196302
Yanga waanze kuzisikiliza izo ofa mwishoni mwa msimu huu but sio kwenye hili dirisha dogo wakati ambao timu inapambana kufuzu robo fainali na wachezaji hao ni muhimu,,na pia sio kazi rahisi kupata replacement yao kwenye hili dirisha dogo!
 
Back
Top Bottom