Wydad kufungwa na Simba nyumbani kwakwe ni sawa na mtoto anayefosi kuona utupu wa mzazi wake

Nawatakia watani ushindi ila Nina wasiwasi Leo hawatoboi.
 
Wanaweza chakaa Ivo ivo
 
Huu ni ukweli mchungu sana!

Simba Leo itatolewa na kurudi matopeni Buza kwa Mpalanger Huku Yanga ikiendelea kupanda Mwewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…