NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #61
Huo ni mtazamo wako lakini kiuhalisia umeweka hela yako kwa wydad [emoji41]Watashinda wao lakini tunapita sisi!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni mtazamo wako lakini kiuhalisia umeweka hela yako kwa wydad [emoji41]Watashinda wao lakini tunapita sisi!
Kama ni drooo ya kabati sikupingi mtu wangu.Simba anaweza kutoa droo pia
Hakuna wa kutoka pale.Nawatakia watani ushindi ila Nina wasiwasi Leo hawatoboi.
[emoji8]Mijanaume mingine ya Uto roho zao zinafanana na sura zao
Duh
Ndiyo anataka kutuaminisha kuwa simba itashinda wakati ni something Wich is impossible [emoji41]
Kwa hiyo unataka kusema Leo wydad anagegeda sisi tunakata viuno si ndyo [emoji16]UTOPOLO FC Ni kama madume ya mbwa,,
Anayegegeda mwingine wao pembeni Wanaka mauno.
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
We Nalia nimekupania Mungu asaidie leo usiku tushinde
Wanaweza chakaa Ivo ivoWachambuzi wa mpira (mashabiki) hawataki kuweka wazi kuwa simba hawezi kutok mbele ya wydad.
Inatumika nguvu kubwa ya kuwadanganya mashabiki wa Simba lakini wanasahau kuwa simba imezidiwa kila kitu na wydad haswa ulitazama namna wadad wanapocheza ugenini ni tofauti kabisa na wanapokua nyumbani/uwanja wa nyumbani.
Sitaki kuwa mnafiki na hii iwafikie wachambuzi wa mchongo wanaoleta siasa za mpira nakuficha ukweli madhubuti kuwa simba atafungwa goli nyingi hata goli la ugenini hatopata.
Simba leo itakwenda kutimiza ratiba tu na siyo kwenda kuleta challenge kwa wydad, nguvu zinazotumika kutoka kwa wachambuzi wetu kuwa simba atashinda mbele ya wydad ni sawa na mtoto mdogo kumlazimisha akachungulie tupu ya mzazi wake ambaye anamtazama kwa umakini/ambaye yupo macho hajalala.
View attachment 2602050
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Endelea kuota hiyo ndoto shauli yako utajikojolea [emoji16]We Nalia nimekupania Mungu asaidie leo usiku tushinde
Hadi mimi? Mbona umetutukana sana wana Utopolo we Pisi Kali?Mijanaume mingine ya Uto roho zao zinafanana na sura zao
Haya maneno hawataki kuyasikia kabisa.Huu ni ukweli mchungu sana!
Simba Leo itatolewa na kurudi matopeni Buza kwa Mpalanger Huku Yanga ikiendelea kupanda Mwewe!