Wydad kufungwa na Simba nyumbani kwakwe ni sawa na mtoto anayefosi kuona utupu wa mzazi wake

Wydad kufungwa na Simba nyumbani kwakwe ni sawa na mtoto anayefosi kuona utupu wa mzazi wake

Dhithi idhi thimba bhana. Tunampiga mwarabu nje ndani.
 
UJINGA NI KIPAJI.

Mpira ni Dakika 90.
Kama ZAMALEKI alivuliwa UBINGWA akiwa KWAO 2003kwanini wydad asivuliwe.

PUNGUZENI ushama

HAYA NDIO MADHARA YA KUKIMBIA MILANGO YA SHULE.
UNAKWAZA Seva za JF.

TAFUTA AJIRA
Mbona unapayuka kama umetoka kudungwa sindano ya nusu kaputi?
 
Wachambuzi wa mpira (mashabiki) hawataki kuweka wazi kuwa simba hawezi kutok mbele ya wydad.

Inatumika nguvu kubwa ya kuwadanganya mashabiki wa Simba lakini wanasahau kuwa simba imezidiwa kila kitu na wydad haswa ulitazama namna wadad wanapocheza ugenini ni tofauti kabisa na wanapokua nyumbani/uwanja wa nyumbani.

Sitaki kuwa mnafiki na hii iwafikie wachambuzi wa mchongo wanaoleta siasa za mpira nakuficha ukweli madhubuti kuwa simba atafungwa goli nyingi hata goli la ugenini hatopata.

Simba leo itakwenda kutimiza ratiba tu na siyo kwenda kuleta challenge kwa wydad, nguvu zinazotumika kutoka kwa wachambuzi wetu kuwa simba atashinda mbele ya wydad ni sawa na mtoto mdogo kumlazimisha akachungulie tupu ya mzazi wake ambaye anamtazama kwa umakini/ambaye yupo macho hajalala.

View attachment 2602050

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Never. Turejee hapa baada ya mechi Mkuu.
 
Back
Top Bottom