changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Hapo kwenye "Mnagombea nafasi moja na Simba "Wakati ule sio Sasa ndio maana mnagombea nafasi Moja na Simba.
Je umenijimuisha mimi kwenye upande upi?
Halafu mimi sijashangaa Azam kugombea ubingwa bali nimeshangaa aliposema Azam itaenda kuvunja record zote za Simba na Yanga walizovuna klabu bingwa. Ndio nikauliza Azam huyu huyu aliyetolewa jasho na waethiopia kwenye CAFCC ndio wavunje point za Simba na Yanga?