Hapo kwenye "Mnagombea nafasi moja na Simba "Wakati ule sio Sasa ndio maana mnagombea nafasi Moja na Simba.
Anamaanisha azam akienda champions league atambwela ni bora aende simba.Azam aliyetolewa na timu kutoka Ethiopia hatua ya awali kabisa kombe la confederation cup? Au Azam ipi hiyo?
Haujaelewa comment yake. Anamaanisha kwamba azam hapawezi kule champions league kwaiyo akienda atafanya vibaya kupelekea kushusha points za timu zinazotoka kwenye ligi. Hizi points zina umuhimu wake kwa sababu zinahakisi uimara wa ligi ya nchi kwaiyo ndio zinatumika kuamua nchi itoe washiriki wangapi. Akienda azam atambwela kama kawaida yake usishangae tukatakiwa kuepela mshiriki mmoja tu ni bora aende simba mwenye rekodi nzuri ili tuweze ku-maintain nafasi yetu ya kupeleka washiriki wawili.Hapo kwenye "Mnagombea nafasi moja na Simba "
Je umenijimuisha mimi kwenye upande upi?
Halafu mimi sijashangaa Azam kugombea ubingwa bali nimeshangaa aliposema Azam itaenda kuvunja record zote za Simba na Yanga walizovuna klabu bingwa. Ndio nikauliza Azam huyu huyu aliyetolewa jasho na waethiopia kwenye CAFCC ndio wavunje point za Simba na Yanga?