Wydad leo wamefanyiwa kile ambacho huwa wanakifanya

Jbst

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2020
Posts
1,971
Reaction score
4,085
Nawapongeza sana masandawana kwenye kupoteza muda baada ya dk za nyongeza.. hawa waarabu ni wapuuzi sana na ndo tabia yao kila siku.

Mfano kipindi cha kwanza walikua wanapoteza muda kipumbavu mpaka kujifanya mtu kaumia, et kafungwa bandeji kubwa kichwani kumbe ni takataka tupu na uongo.

Baada yagame kuisha hakuwa na ile bandeji wala hakuwa na jeraha!! leo upumbavu wao umewarudia.

Hizi team za kiarabu kama fifa wakidhibiti fitna zao nq upuuzi wao nina uhakika hata kwa simba na yanga kwasasa hawatoki waarabu.

NB, CAF wanapaswa kuachana na upumbavu wa final 2 ni ujinga na kupoteza muda, final inakosa mvuto zikiwa 2.
 
Warabu wana uhuni mwingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile fitna wamepigwa wataenda wasimuliane nadhani hata wao kwenye ndege wanacheka kwamba hii hawajawahi kuiona dk 6 kupiga faulo [emoji119] Mamelody wamefanya poa sana kuonesha wazi kile waarabu huwa wanafanya
 
Mpira wa Africa una uhuni mwingi sana

Mechi inaanza saa tisa jua kali

Hata yanga tuambiwe tunacheza na geita ama ihefu kwenye jua la saa tisa hatutoboi

Cha kushangaza mechi ya fainali Caf wanakubali ianze saa tisa kwenye jua kali sababu mwenye timu ndio rais wa caf anataka hela za zawadi ziwe zake.
 
Hivi kumbe yule dogo chairman wa Mamelody ni kijana wa Patrick Motsepe?
 
Ile fitna wamepigwa wataenda wasimuliane nadhani hata wao kwenye ndege wanacheka kwamba hii hawajawahi kuiona dk 6 kupiga faulo [emoji119]
Mamelody wamefanya poa sana kuonesha wazi kile waarabu huwa wanafanya
Dk 6 bado foul inapigwa,mtu akipigwa yellow anaenda mwingine ambaye hana Yellow card ,mamelodi waliamua kwamba hii ndo final hata wakipigwa card hawana mechi nyingine
 
Asee muda leo umepangwa jua kali tofauti na mechi zote za nyuma. Lakini jibu litakuwa rahisi kwamba Team zote zilicheza juani nini kilishindikana kwa wengine kushinda?

Malalamiko ni double standards. Kwa nini timu zingine zikiomba kucheza na waarabu ama mechi zao kwenye jua zinakataliwa.

Mfano simba alishakataliwa muda wa jua.


Simba na raja simba aliomba acheze saa 10 dar akakataliwa.

Mazembe aliomba acheze na esperence saa tisa congo akakataliwa
 
Malalamiko ni double standards. Kwa nini timu zingine zikiomba kucheza na waarabu kwenye jua zinakataliwa.

Mfano simba alishakataliwa muda wa jua
Malalamiko ni double standards. Kwa nini timu zingine zikiomba kucheza na waarabu kwenye jua zinakataliwa.

Mfano simba alishakataliwa muda wa jua
kwani waarabu wameshindwa nini kushinda kwenye jua??? Au wanatoka kwenye sayari nyingine??
 
kwani waarabu wameshindwa nini kushinda kwenye jua??? Au wanatoka kwenye sayari nyingine??

Malalamiko ni double standards. Kwa nini timu zingine zikiomba kucheza na waarabu ama mechi zao kwenye jua zinakataliwa.

Mfano simba alishakataliwa muda wa jua.


Simba na raja simba aliomba acheze saa 10 dar akakataliwa.

Mazembe aliomba acheze na esperence saa tisa congo akakataliwa

KAMA MAMELODI ANARUHUSIWA KUCHEZA KWENYE JUA WHY SIMBA NA MAZEMBE WANAKATALIWA ?
 
Watoe simba hapo. Sema hata wakicheza na Yanga hawatoboi. Simba sasa hivi watu wanajipigia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…