Wydad leo wamefanyiwa kile ambacho huwa wanakifanya

Wahuni sana wale watu,,, wanaongoza kwa kujiangusha na wanabebwa sana bora walipata wahuni wenzao
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dk 6 bado foul inapigwa,mtu akipigwa yellow anaenda mwingine ambaye hana Yellow card ,mamelodi waliamua kwamba hii ndo final hata wakipigwa card hawana mechi nyingine
Ile waliamua maana zile aerial ball za Wydad zilikuwa mbaya sana ilibidi kupoteza muda ila refa muhuni alikuwa upande wao sema hakutaka kuonesha
 
Yah kijana kapewa kabisa urithi wake ila nachomkubali ye ni kuweka mzanzi wenzake kwenye team akitaka kuleta foreigner basi ni kutoka Amerika au North afrika ila wanaotamba ni wa SA ila pia ni mpwa wa mke wa Rais wa SA Cyril Ramaphosa
Nani ndio mpwa mkuu. Ni Patrick au huyo mtoto wake?
 
Simba alipigwa 3 na Raja mchana wa jua kali
 
Mechi ya Raja ilichezwa mchana saa 10
 
Haswaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapakuwa na namna na Mamelody hata ukiangalia nyuso zao utaona hili kombe ilikuwa ni do or die lazima walipate hii imefungua milango ya wao kuipambania Cafcl ili wa cement position Yao as giant in African football
 
Simba alipigwa 3 na Raja mchana wa jua kali

Bishana na records kutoka simba app.

Caf walikataa isichezwe juani. Mpaka jua lizame.

Hakuna mwarabu anaeweza mfunga simba kwenye jua kwa mkapa
 

Attachments

  • Screenshot_20231113-135601_Firefox.jpg
    241.8 KB · Views: 2
Bishana na records kutoka simba app.

Caf walikataa isichezwe juani. Mpaka jua lizame.

Hakuna mwarabu anaeweza mfunga simba kwenye jua kwa mkapa
Kikubwa Waarabu koko wako ambao uliwaamini watabeba kombe la African Football League kwa kushushiwa kipigo kitakatifu 2-0.

Ukome kukariri matokeo ya mpira kabla haujachezwa tokana na historia iliyopita [emoji4]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo na Ile mechi ya kwanza kule Kwa wydad aliipanga nani ?😂😂
Motsepe ndie mmiliki wa Mamelodi. Kama Mo na simba ama Gsm na yanga

Ndio maana mechi wanajipangia muda hawakataliwi
 
League ya Africa kusini mechi nyingi ni saa 10 ndugu sijawahi kuona Mamelody anacheza mechi ya league usiku
 
Yaani Masandawana wameonyesha kuwa waarabu ambacho huwa wanafanya wengi huwa hawafurahi na kinawaumiza wengi sana. Sasa wamechuma walichokipanda na Bado, Hilo ni mwanzo tu Bado picha yenyewe. Kwa Sasa waarabu wajiandae kufungwa sana na timu za kusini mwa Africa, kumekucha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…