Katika kipande cha video hapo chini kinaonyesha goli walilofunga Wydad Athletic Club kutoka nchini morocco katika mchezo wao caf champions league dhidi ya Asec mimosa ya cote d'ivoire.
Ukilitizama bao hilo utaona wazi ni goli la mipango ya wazi kabisa na kama caf wataingilia na kufanya uchunguzi, Nina uhakika hawa watakamatwa kwa tuhuma za kupanga matokeo lakini ni vile tu kwa sababu jambo hili limefanywa na moja ya timu vigogo wa soka la afrika, lakini bila kupepesa macho goli hili ni tafsiri ya rushwa michezoni.
Ikumbukwe Wydad Athletic Club walikuwa kundi moja na mwakarobo fc almaarufu kama mbumbumbu Mo academy, na wote walikuwa katika nafasi ya kusonga mbele ikiwa mmoja wao angepoteza mchezo ama kupata sare na mwingine kushinda.
Kuna kitu nimeona, huyo beki wa kwanza hakumfata mfungaji, yeye kageuza mwili tu kuangalia golini kwao na beki wa pili kaacha nafasi mfungaji apite akafunge.
Kipa nae kapeleka mguu baada ya kudaka mpila, ila yote kwa yote Wydad kabaki.
kuna kitu nimeona,huyo beki wa kwanza akumfata mfungaji yeye kageuza mwili tu kuangalia golini kwao.na beki wa pili kaacha nafasi mfungaji apite akafunge.
kipa nae kapeleka mguu baada ya kudaka mpila,ila yote kwa yote Wydad kabaki.
Katika kipande cha video hapo chini kinaonyesha goli walilofunga Wydad Athletic Club kutoka nchini morocco katika mchezo wao caf champions league dhidi ya Asec mimosa ya cote d'ivoire.
Ukilitizama bao hilo utaona wazi ni goli la mipango ya wazi kabisa na kama caf wataingilia na kufanya uchunguzi, Nina uhakika hawa watakamatwa kwa tuhuma za kupanga matokeo lakini ni vile tu kwa sababu jambo hili limefanywa na moja ya timu vigogo wa soka la afrika, lakini bila kupepesa macho goli hili ni tafsiri ya rushwa michezoni.
Ikumbukwe Wydad Athletic Club walikuwa kundi moja na mwakarobo fc almaarufu kama mbumbumbu Mo academy, na wote walikuwa katika nafasi ya kusonga mbele ikiwa mmoja wao angepoteza mchezo ama kupata sare na mwingine kushinda. View attachment 2924259