mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
Katika kipande cha video hapo chini kinaonyesha goli walilofunga Wydad Athletic Club kutoka nchini morocco katika mchezo wao caf champions league dhidi ya Asec mimosa ya cote d'ivoire.
Ukilitizama bao hilo utaona wazi ni goli la mipango ya wazi kabisa na kama caf wataingilia na kufanya uchunguzi, Nina uhakika hawa watakamatwa kwa tuhuma za kupanga matokeo lakini ni vile tu kwa sababu jambo hili limefanywa na moja ya timu vigogo wa soka la afrika, lakini bila kupepesa macho goli hili ni tafsiri ya rushwa michezoni.
Ikumbukwe Wydad Athletic Club walikuwa kundi moja na mwakarobo fc almaarufu kama mbumbumbu Mo academy, na wote walikuwa katika nafasi ya kusonga mbele ikiwa mmoja wao angepoteza mchezo ama kupata sare na mwingine kushinda.