Wydad vs Atletico Petroleous, huu ndio mpira sasa. Tanzania kuna danganya toto ya mpira

Mshamba tu huyo jamaa.
Inaonyesha hajui anachokizungumza
@Kitoabu ww ni katika wabongo wengi ambao mnaangalia mechi za yanga tu au Simba tu.

Wala hamna habar na timu nyingine mpaka pale zitakapo kutana na Simba na yanga

Hivi kweli mtu anaitaja tp mazembe kama mfano wakati kabisa tp kwa sasa wanajitafuta hawapo vizuri

Acha ujinga we jamaa sijui hata kama kupiga danadana unajua.
 
Hawa waangola msimu uliopita walitolewa na hawahawa wydad naweza sema ni vibonde wao ila kabla ya kukutana na wydad walikipiga na mamelod weeeeeee ile mechi siwezi isahau kamwe[emoji119][emoji119][emoji119]mamelod hakuamini kama katoka tena palepale south africa


Nasikia ina wabrazil kibao humo
 
Iyo nusu walitolewa na hawahawa wydad
 
Mkuu una uhakika kuwa mamelod sundown alitolewa na Petro atletico msimu uliopita??
Ndio hata mimi nina uhakika

Walifungwa angola wakatoa sare pale kwa madiba
 
Simba walikosea wakipotangiliza mat.ako kwenda kukabiliana na adui ishara mbaya sana ile itawacost kwa kipindi kirefu
 
Walakini unao wewe..sisi wananchi tulikuwa tunamuita carrinho handsome boy toka yuko Bongo anachezea timu yetu
Wewe Kolo tangu lini umekua mwananchi
Ngoja ufanywe vibaya na Vipers
 
Uwe ni shukrani kwa jitihada zinazofanyika. Timu imeingia makundi kwa miaka mitano mfululizo halafu uko hapa kukashfu viongozi na wachezaji walioifikisha hapo. Kama unaona uwekezaji hautoshi, wapelekee fungu waboreshe zaidi. Vinginevyo uache kubwabwaja wakati huchangii chochote. Unategemea wenzako watoboke mifuko ili kuridhisha ego yako isiyokuwa na shukrani? Hii haiwezekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…