je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
- Thread starter
- #21
@Kitoabu ww ni katika wabongo wengi ambao mnaangalia mechi za yanga tu au Simba tu.Mshamba tu huyo jamaa.
Inaonyesha hajui anachokizungumza
Wala hamna habar na timu nyingine mpaka pale zitakapo kutana na Simba na yanga
Hivi kweli mtu anaitaja tp mazembe kama mfano wakati kabisa tp kwa sasa wanajitafuta hawapo vizuri
Acha ujinga we jamaa sijui hata kama kupiga danadana unajua.