Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Je Safari ya matumaini ya Simba SC itaishia Jumamosi hii! ?
Yule tusiompenda kumsikia ameshatua Dar na wamesema hawaogopi Mvua, wamekuja kucheza mpira na sio kutafuta suluhu au kulinda.
Wao wanaamini ushindi ni popote hivyo watafunguka ili Simba acheze na wao wacheze na mbora wao ndio ataondoka na ushindi.
Kwakweli SSC mwaka huu anapitia hard time tena kwenye matanuru ya moto. Kufungwa goli 3 na Raja imekuwa ni udhaifu na
Imewapa confidence Wydad kuwa watafanya zaidi ya Raja. Hili ni doa kwa Simba kwa kuharibu machinjio ya Mkapa.
Ili SSC atoke na ushindi kwa Mkapa ni lazima afute upuuzi kuwa kwa Mkapa hatoki mtu; hii kauli ni obsolescence haina maana ;kisha mnyama aingie kwa tahadhari na kama atafunguka basi afunguke kwa taahadhari,.
Wydad inawachezaji ambao wanaleta matokeo muda wowote na eneo lolote , yaani wale ni professional footballers sio kama hii papatu papatu ya kina Bocco na Sakho.
Ukifanya mchezo utakula hata 5 hapo hapo Taifa..... wenzetu wapo serious na mpira na wanafanya investment kila leo sio kama hapo SSC scouting za mchongo na utapeli utapeli wa mwafulani.
Kila la heri Mnyama, wakubwa hupimana na wakubwa wenzie; nyie wengine mtajijua wenyewe