mimi nachojiuliza wydad wameona nini cha ajabu huyo mzize. namuona wa kawaida sana. maji kupwa maji kujaa. NO nyingi kuliko YES mchezoniKwa maslahi ya mtanzania mwenzetu kutuwakilisha kwenye ligi kubwa na kuongeza kipato chake binafsi kwa miguu yake ndio mtaji wake, mimi naomba Yanga waache nongwa wamuuze kijana.
Naskia kijana...anaitaka Yanga tu[emoji23][emoji23]Kwa maslahi ya mtanzania mwenzetu kutuwakilisha kwenye ligi kubwa na kuongeza kipato chake binafsi kwa miguu yake ndio mtaji wake, mimi naomba Yanga waache nongwa wamuuze kijana.
It's just a miracle boy.....How comes
Tetesi: - Yanga imekataa ofa ya pili ya klabu ya Wydad ya Tsh Bilioni 1.7
- Wydad Casablanca wanamtaka mshambuliaji Clement Mzize (20). Ofa ya kwanza ya Wydad kwenda Yanga kwa ajili ya kuinasa saini ya Clement Mzize ilikuwa $100k Tsh 270 milioni na kipengele cha kuongeza pesa hadi kufika 400 million kutokana na Performance yake uwanjani. Yanga wakaitupilia mbali...www.jamiiforums.com
Wanatunga story hawa vyura wapenda kiki, mara Kamwe anaondoka, siku hizi wamekuwa Mipasho Fc.mimi nachojiuliza wydad wameona nini cha ajabu huyo mzize. namuona wa kawaida sana. maji kupwa maji kujaa. NO nyingi kuliko YES mchezoni
Yaani wewe ukaa kabisa unamuamini Laban og?Yanga wamuachie sasa kijana aende!
akili inakutuma nimeandika kiushabiki. maandazi ya amira.Hujui soka
Wamwachie aende kujipatia kibunda Ila for carrier development nchi za uarabuni hasa hasa hapa barani Africa Bado Sanaa it's my opinionKwa maslahi ya mtanzania mwenzetu kutuwakilisha kwenye ligi kubwa na kuongeza kipato chake binafsi kwa miguu yake ndio mtaji wake, mimi naomba Yanga waache nongwa wamuuze kijana.
Hujui soka ...nenda kalimeUkiangalia kwa jicho la 3 kuna harufu ya upigaji. Yule kocha wa mamelodi ndio yupo wydad. Labda kuna dili linachezwa na yule kocha+ viongozi wa yanga. Haiwezekani yule mkosa magoli na mpaishaji awe na thamani hiyo