Wydad waongeza 1.4Tsh billion Kwa mzize

Wydad waongeza 1.4Tsh billion Kwa mzize

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
#MICHEZO: Klabu ya Wydad Athletic imetuma ofa ya tatu kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa Yanga Sc Clement Mzize, imefahamika.

Matajiri hao kutoka ligi kuu ya Morocco wameongeza dau la usajili kufikia takribani Tsh 1.4B ambapo dau hilo linaweza kuongezeka hadi kufikia Tsh 2.1B kutegemea na makubaliano ya ziada.

Aidha klabu hiyo imeipa Yanga Sc ofa ya kufanya pre-season ya msimu ujao Morocco ambapo Wydad watagharamikia kila kitu.

Nini Maoni Yako Mdau wa Soka?

# NB...yangekuwa makolo...yangekimbilia pesa [emoji3063][emoji23]
 
Kwa maslahi ya mtanzania mwenzetu kutuwakilisha kwenye ligi kubwa na kuongeza kipato chake binafsi kwa miguu yake ndio mtaji wake, mimi naomba Yanga waache nongwa wamuuze kijana.
mimi nachojiuliza wydad wameona nini cha ajabu huyo mzize. namuona wa kawaida sana. maji kupwa maji kujaa. NO nyingi kuliko YES mchezoni
 
How comes
 
 
20240830_171735.jpg
 
Kwa maslahi ya mtanzania mwenzetu kutuwakilisha kwenye ligi kubwa na kuongeza kipato chake binafsi kwa miguu yake ndio mtaji wake, mimi naomba Yanga waache nongwa wamuuze kijana.
Wamwachie aende kujipatia kibunda Ila for carrier development nchi za uarabuni hasa hasa hapa barani Africa Bado Sanaa it's my opinion
 
Ukiangalia kwa jicho la 3 kuna harufu ya upigaji. Yule kocha wa mamelodi ndio yupo wydad. Labda kuna dili linachezwa na yule kocha+ viongozi wa yanga. Haiwezekani yule mkosa magoli na mpaishaji awe na thamani hiyo
Hujui soka ...nenda kalime
 
Back
Top Bottom