Wydad waongeza 1.4Tsh billion Kwa mzize

Wydad waongeza 1.4Tsh billion Kwa mzize

akili inakutuma nimeandika kiushabiki. maandazi ya amira.

wewe umekalisha makalio kuangalia soka. mimi nalicheza. niko Arabuni nafanya kazi na free time na likizo nacheza ligi za mafuta amateur bwana mdogo
Arabuni hakuna soka mkuu ....
 
Ng
#MICHEZO: Klabu ya Wydad Athletic imetuma ofa ya tatu kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa Yanga Sc Clement Mzize, imefahamika.

Matajiri hao kutoka ligi kuu ya Morocco wameongeza dau la usajili kufikia takribani Tsh 1.4B ambapo dau hilo linaweza kuongezeka hadi kufikia Tsh 2.1B kutegemea na makubaliano ya ziada.

Aidha klabu hiyo imeipa Yanga Sc ofa ya kufanya pre-season ya msimu ujao Morocco ambapo Wydad watagharamikia kila kitu.

Nini Maoni Yako Mdau wa Soka?

# NB...yangekuwa makolo...yangekimbilia pesa [emoji3063][emoji23]
tumsubiri Jemedar Said anasemaje kwani yeye kila kitu cha Yanga anapinga
 
Uyu mzinze ana maajabu Gani ? mbona wa kawaida sana?
Hakuna cha Wydad wala cha nani kumuhitaji huyo mzize. Hizo ni propoganda za uto ili ionekane chezaji lao Lina kiwango cha kusajiliwa na Wydad tena kwa pesa kubwa kama hiyo.

Rejea hata aziz ki ilikuwa hivyohivyo.
Kifupi tu ni kwamba nyuma mwiko wanajitekenya na kucheka wenyewe.
 
Wenzetu wana angalia umri wa mchezaji.
Ila kwa Yanga walivyo kuwa na Roho mbaya hawawezi kimwachia Mzinze.
Angekuwa Simba ni mapema tu angeuzwa.
Yanga shikilieni hapo hapo
Hadi Mzimze afie Yanga.
Kama walimficha Ngasa hoterini ili asiuzwe Uarabuni
Who is Mzimze.
 
#MICHEZO: Klabu ya Wydad Athletic imetuma ofa ya tatu kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa Yanga Sc Clement Mzize, imefahamika.

Matajiri hao kutoka ligi kuu ya Morocco wameongeza dau la usajili kufikia takribani Tsh 1.4B ambapo dau hilo linaweza kuongezeka hadi kufikia Tsh 2.1B kutegemea na makubaliano ya ziada.

Aidha klabu hiyo imeipa Yanga Sc ofa ya kufanya pre-season ya msimu ujao Morocco ambapo Wydad watagharamikia kila kitu.

Nini Maoni Yako Mdau wa Soka?

# NB...yangekuwa makolo...yangekimbilia pesa [emoji3063][emoji23]
Hakuna timu inayomtaka huyo mchezaji
 
Msyuu hao waidada sasa...
Hii yanga ni balaa
1725712617329.jpg
 
Wenzetu wana angalia umri wa mchezaji.
Ila kwa Yanga walivyo kuwa na Roho mbaya hawawezi kimwachia Mzinze.
Angekuwa Simba ni mapema tu angeuzwa.
Yanga shikilieni hapo hapo
Hadi Mzimze afie Yanga.
Kama walimficha Ngasa hoterini ili asiuzwe Uarabuni
Who is Mzimze.
Hapana mkuu...Yanga ni sehemu sahihi kwake ....Ili akie kisoka
 
mimi nachojiuliza wydad wameona nini cha ajabu huyo mzize. namuona wa kawaida sana. maji kupwa maji kujaa. NO nyingi kuliko YES mchezoni
Ni Harry Kane fulani hivi aliyechelewa kutunzwa professionally. Bonge ya Goal-geter. Mungu azidi kumjalia afya njema!
 
#MICHEZO: Klabu ya Wydad Athletic imetuma ofa ya tatu kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa Yanga Sc Clement Mzize, imefahamika.

Matajiri hao kutoka ligi kuu ya Morocco wameongeza dau la usajili kufikia takribani Tsh 1.4B ambapo dau hilo linaweza kuongezeka hadi kufikia Tsh 2.1B kutegemea na makubaliano ya ziada.

Aidha klabu hiyo imeipa Yanga Sc ofa ya kufanya pre-season ya msimu ujao Morocco ambapo Wydad watagharamikia kila kitu.

Nini Maoni Yako Mdau wa Soka?

# NB...yangekuwa makolo...yangekimbilia pesa [emoji3063][emoji23]
Wydad hawachezi club bingwa Afrika kwa msimu huu, Mzize hataoneka kwenye club bingwa mwaka huu kama ataenda Wydad pia dau lake mwakani litakuwa kubwa mbali ya Wydad club zingine zitakuja na madau, kwasasa Mzize ajikite kwenye kuongeza ujuz, (individual skills),i ili dau lake lipande bado ni kijana mdogo
 
Back
Top Bottom