Huko kwenu mwenye akili ni mmoja tu, nae ni Mh. Rage tu, nyie wengine ni mungu tu ndie anaejua.Aya ya mwisho imemaliza kila kitu. Halafu unakisikia kuna kitimu kutoka mtaa wenye mafuriko kinasema kitampiga Al Ahly kilaini, na kwamba chenyewe levo yake ni Mamelodi. Hii nchi haitaisha vichekesho.
Tukirudi kwenye game ijayo:AL AHLY ANAENDA KUMTOA MAMELODI SUNDOWNS. Wale Wazee wa kukariri sijui Mamelodi huwa anampiga Al Ahly nje ndani leo ndo mtaenda kujua kuwa Al Ahly ni Real Madrid ya Africa.
Mamenlod anaenda kuwafundisheni jins ya kumtoa huyo mbabe wenu.Al ahly na wydad tumewachoka sasa kila siku wao tu
Leo ndio umeongea point, inaonekana akili imeanza kukurudiaSimba ni ndogo ukilinganisha na hao miamba waliobaki
Wamechukua ubingwa Club WorldCup mara ngapi?Wenzetu wanajiendesha kisasa kuliko hata team za Ulaya na Arabuni au kule America
Niko hapa nataka nitazame had mwisho wa match.Ningependa iwe hivyo ila Leo wamepewa ruhusa ya full house na ushindi Mamelody walipata ni mdogo anyway tuone hadi mwisho inakuwaje
Shida mtu mweusi amesha dunishwa/unyonge.Marefa nao wamekuwa soft sana pale ni anatembea na red aisee potelea pote
Al Ahly kacheza final yake Hilo kombeMkuu ipo serious kabisa?
Unaijua Ulaya au America?
Wangekuwa Bora hivyo wangechukua kombe la WorldCup la vilabu.
Ameshinda mara ngapi?Al Ahly kacheza final yake Hilo kombe
Na mara nyingi hilo kombe hushirikisha vilabu vikubwa sana kutoka England Spain Germany na Italy basi