Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Huko kwenu mwenye akili ni mmoja tu, nae ni Mh. Rage tu, nyie wengine ni mungu tu ndie anaejua.Aya ya mwisho imemaliza kila kitu. Halafu unakisikia kuna kitimu kutoka mtaa wenye mafuriko kinasema kitampiga Al Ahly kilaini, na kwamba chenyewe levo yake ni Mamelodi. Hii nchi haitaisha vichekesho.
Tukirudi kwenye game ijayo:AL AHLY ANAENDA KUMTOA MAMELODI SUNDOWNS. Wale Wazee wa kukariri sijui Mamelodi huwa anampiga Al Ahly nje ndani leo ndo mtaenda kujua kuwa Al Ahly ni Real Madrid ya Africa.