Wydad yatinga final AFL

Wydad yatinga final AFL

Mkuu hata mi nilitaka aingie Esperance ila si umeona upigaji wa penalty na nidhamu ya Wydad!?
Ili kuziondoa hizo team hapo team zingine inabidi Zi upgrade Kila kitu kuanzia management technical staff players na Kila kitu
Wenzetu wanajiendesha kisasa kuliko hata team za Ulaya na Arabuni au kule America
Na wakikutana hao wawili bingwa Ahly
 
Ndogo imagine Esperance na uimara wao ila wamekaa Hawa Wydad siku wanacheza na enyimba ungeweza kusema sio wa hatari ila wanaenda wakibadirika Kila game
Simba pia alitolewa kwa penati na hao hao wydad msimu uliopita
 
Aya ya mwisho imemaliza kila kitu. Halafu unakisikia kuna kitimu kutoka mtaa wenye mafuriko kinasema kitampiga Al Ahly kilaini, na kwamba chenyewe levo yake ni Mamelodi. Hii nchi haitaisha vichekesho.

Tukirudi kwenye game ijayo:AL AHLY ANAENDA KUMTOA MAMELODI SUNDOWNS. Wale Wazee wa kukariri sijui Mamelodi huwa anampiga Al Ahly nje ndani leo ndo mtaenda kujua kuwa Al Ahly ni Real Madrid ya Africa.
acha pumba punda mjane wewe,timu lenu la sinba lina wazee litawezaje kucheza nusu final wewe kenge nini.
 
Sijui
Sijui ni nguvu ya pesa au ni ubabe tu!! Anyway huko ligi zao mambo hizo ni kawaida tu daaaaah
Hatujawa na marefa walioko serious uwanjani ila huwezi fanya mambo kama hayo world cup au uefa
 
Team ya wydad Casablanca imetinga hatua ya final ya AFL baada ya kuiondoa Esperance ya Tunisia

Sasa Wydad itamngoja mshindi baina ya Al Ahly na Mamelody

Uzito wa mechi unaonesha wazi kabisa team zetu (TZ) bado Zina safari ndefu kufika ubora wa team za UNAF

I wish wakutane wote wababe Al ahly na wydad
 
I wish wakutane wote wababe Al ahly na wydad
Sasa ni Wydad dhidi ya Mamelody
First leg ni Mohamed V Morroco
Game 2 Loftus Versfeld Pretoria
Ni marudio ya nusu final msimu uliopita

First leg 5th
2nd leg 11th (final)
 
Back
Top Bottom