X akikujibu hivi anakua na maana gani?

X akikujibu hivi anakua na maana gani?

Mkuu wanaitaga sweettalk her and she will be yours muoneshe umebadilika kuanzia jinsi unavyovaa,lugha yako kwake,mpe time yako katika ratiba yako ajue kabisa upo interested na unajutia ur first breakups ofcoz pia badilisha vitu ambavyo unajua vilifanya mkatengana mwanzo ila mostly galz wanapenda sana mtu anaeshow caring kutoka moyoni sio kupretend pia unaweza jaribu mpa some gift sio vyakula bt vtu vya kuvaa mfano saa, necklace just by surprise vtamfanya ya akukumbuke pia ujue the only poison to kill a lover is being with her most of the time kuwa nae mda mwingi atarudisha hisia kwako
 
Anamaanisha yeye hana maamuzi sahihi ya kurudiana nawe, Ukipenda rejea tena na ukipuuzia pouwa tu.
Kazi kwako.
 
Yaani Unataka umrudie kiukweli au Unataka umkule tena au ni ndoa
 
Hataki tu kukwambia hapana moja kwa moja au umekua king'ang'anizi sana
 
naona wote hapo mnatamaniana tena bado.. wakati mnabwagana hukomba ushauri lakini
 
hahahahhahahahahahahaha.....sina muda kurudia matapishi yangu aisee na warembo wote hawa waliojaaa hell no
 
Back
Top Bottom