Mekutag kwa maksudi have nothing to say
Jambo lako dogo sana,kwavile unamawasiliano na ndugu zake,wewe wape ndugu zake mzigo wa ex wako,then wakatie Umeme na maji.Habari jf?
Jamani mimi ni mwanamke ambaye nilikuwa na mpenzi wangu toka 2014 mpaka 2016 ambapo mwanzo tulipendana sana na kujaliana. Mwaka 2016 tuliachana tena aliniacha kwa kunichoka tu kwani hakuwa na sababu ya maana aliyonieleza.
Nililia na kupitia kipindi kigumu hadi kufikia kuwekwa chini na ndugu zake ili kunifariji kwani nilijulikana kwao.
Baada ya mapito hayo nilikaa sawa. Undugu kati yangu na ndugu zake haukukatika. Tulijuliana hali na kusaidiana.
Toka 2016 hadi sasa maisha yetu kati yangu na x yalikuwa ni anaweza kukaa mwezi pasipo kunitafuta but inatokea siku ananipigia na kunijulia hali.
Mwaka huu aliniomba msamaha na akanijulisha kuwa amepata girl wake wanayependana nae sana. Hivyo hataki tukae kwa ugomvi na tuendelee kusaidiana kila inapobidi.
Binafsi kusameheana ilikua ni nzuri kwangu lakini suala la ukaribu nae sikuona umuhimu wa kuwa karibu na x na ukizingatia huyo girl wake hajawahi kumuona zaidi ya kuongea nae kwa simu na wanaishi mikoa tofauti.
X niliamua kumchukulia kama rafiki wa kawaida na sio kumpa special care kama mwanzo. But kwa jinsi anavyotaka ni ile special care kwani anaweza kuniambia kitu cha ndani ambacho naamini anapaswa kumwambia girl wake.
Nimejaribu kumpuuza kila anaponitengenezea mazingira ya kumpa special care mfano kufanya nae maendeleo au akipata tatizo niwe wa kwanza kumjali kabla ya mtu yoyote.
Nimemuignore kwenye vitu vingi sana namjibu kama rafiki wa kawaida ambaye siku yoyote naweza nisiwe nae wala kumuona but ameninunia from no where.
Kuna mzigo wake alipaswa kuchukua toka kwangu ila hapokei simu wala kujibu msg.
Jamani mtu kama huyu ananichukulia kama mama huruma au bado anataka niendelee kumjali kwa kuwa mpenzi wake hamjali ivo au ni kitu gani?
Naombeni mnisaidie mawazo yenu.
kwanini umeuliza hivi??Nje ya mada. Hivi kuna watu huwa ni wapenzi kiukweli humu na wanaonana kabisa?
still sina cha kusemaMekutag kwa maksud
na huduma zote kwa ujumlaJambo lako dogo sana,kwavile unamawasiliano na ndugu zake,wewe wape ndugu zake mzigo wa ex wako,then wakatie Umeme na maji.
Sawa bwanastill sina cha kusema
Mjibu tukwanini umeuliza hivi??
X ni nani?
acha umbeaMjibu tu
Nimenunaacha umbea
basi mpenzi, endelea tu na umbea wako unajua sipendi uwe hivyo darlingNimenuna
Hahahahhahahahahhahahahaaaaa umenfrahisha mno hahaa niendeleee na umbea wangu eh? Sjanuna huku menuna kule ulikoniacha, na hiyo avatar yako kama inaniambia nikupende tu at my own riskbasi mpenzi, endelea tu na umbea wako unajua sipendi uwe hivyo darling
of course at your own riskHahahahhahahahahhahahahaaaaa umenfrahisha mno hahaa niendeleee na umbea wangu eh? Sjanuna huku menuna kule ulikoniacha, na hiyo avatar yako kama inaniambia nikupende tu at my own risk
Hahahaha, ujumbe huo sjaupata mbona?? Nimeamka tayarof course at your own risk
lakini niliomba uamshwe kwa yule uliyemtuma kule nimereply ile msg nasubiria feedback mpaka sasa
Njoo Mimi na wew tuweke rekodiNje ya mada. Hivi kuna watu huwa ni wapenzi kiukweli humu na wanaonana kabisa?
Hata salamu humpi ?
Hata salamu yake mara moja moja hutaki ?Mimi niko hivi, yan tumeachana hutakaa ukaona text wala sim yangu wala ya mtu wangu yiyote wa karibu ambae mlikua mnafahamiana kupitia mimi labda itokee walikua wana ishu zao huko watajuana wenyewe, kuna mmoja akawa ananambia meachana kwa wema why mchukiane hasira za nn namwambia hakuna hasira lakini nahitaji space sitaki tena kuona ex ana pop up in my life again, haipendez usha move on unaanza tena kurudisha majeshi kwa ex unajidrag low labda iwe tumebahatika kupata mtoto na anatekeleza mahitaj kwa mtoto wake hapo naweza kukutafta ikiwa kuna shida hivi hivi siwez kabisa