X ameninunia!!!

X ameninunia!!!

Tuko kwenye njia moja,me na ww

Unaanzaje kufanya mazoea na mtu ambae mmeachana kimapenzi iweje kwa mfano

Archduke ninejisikia kukutag hunie utie neno hahaha

Tatizo wengine wanatake hayo mazoea for granted... mshaachana Ile kutaka labda kuwa marafiki wa kawaida tu mtu analeta zakuleta za kutaka kukumbushia.. mimi nilishindwaga hapo tu mpaka waleo sitaki mazoea kabisa... wakati huo mtu ushamove on.. una mtu wako tayari.. uanze kujichanganya na ma ex.. HAPANA HAPANA

cc Smart911
 
I'm one of them.. sio kuonana tu na KUKULANA kabisa..na some mpaka kuoana..
pia wengine huwa marafiki wa kawaida tu just because of jf...

cc Smart911
Sawa. Mnaanzaje anzaje sasa?
Yaani mtu anakuomba tuu muonane then basi?

Yaani i mean hayo mazoea yanaanzaje mpaka ifikie hapo.
 
Kutokana na maelezo yako ukiachana na habari ya huo mzigo,inaonekana wewe ndio umemnunia
 
Huyo jamaa hakuoi wewe wala huyo demu wake mpya, kiufupi jamaa ni muhuni tu, na hiyo mbinu ya kukuchunia ndio huwa mbinu yetu ya mwisho ambayo hakuna kiumbe cha kike kinaweza kuruka hiyo, kama ni salaha basi jamaa hapo kavuta silaha ya nyuklia, na kadri utakavyoendelea kushangaa anavyokuchunia ndo jamaa anafurahi hapo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu una hatari wewe! Silaha ya nyuklia
 
Tatizo wengine wanatake hayo mazoea for granted... mshaachana Ile kutaka labda kuwa marafiki wa kawaida tu mtu analeta zakuleta za kutaka kukumbushia.. mimi nilishindwaga hapo tu mpaka waleo sitaki mazoea kabisa... wakati huo mtu ushamove on.. una mtu wako tayari.. uanze kujichanganya na ma ex.. HAPANA HAPANA

cc Smart911
Mimi niko hivi, yan tumeachana hutakaa ukaona text wala sim yangu wala ya mtu wangu yiyote wa karibu ambae mlikua mnafahamiana kupitia mimi labda itokee walikua wana ishu zao huko watajuana wenyewe, kuna mmoja akawa ananambia meachana kwa wema why mchukiane hasira za nn namwambia hakuna hasira lakini nahitaji space sitaki tena kuona ex ana pop up in my life again, haipendez usha move on unaanza tena kurudisha majeshi kwa ex unajidrag low labda iwe tumebahatika kupata mtoto na anatekeleza mahitaj kwa mtoto wake hapo naweza kukutafta ikiwa kuna shida hivi hivi siwez kabisa
 
Pole sana...

Ukiona hivyo ujue huyo X wako amekuweka kama reserve... akishafanya yake akichoka anakuja kwako anagusa kidogo anaacha tena...

Cc: mahondaw
 
Mimi niko hivi, yan tumeachana hutakaa ukaona text wala sim yangu wala ya mtu wangu yiyote wa karibu ambae mlikua mnafahamiana kupitia mimi labda itokee walikua wana ishu zao huko watajuana wenyewe, kuna mmoja akawa ananambia meachana kwa wema why mchukiane hasira za nn namwambia hakuna hasira lakini nahitaji space sitaki tena kuona ex ana pop up in my life again, haipendez usha move on unaanza tena kurudisha majeshi kwa ex unajidrag low labda iwe tumebahatika kupata mtoto na anatekeleza mahitaj kwa mtoto wake hapo naweza kukutafta ikiwa kuna shida hivi hivi siwez kabisa

Tatizo wengine wanaendekeza sana shida na maisha ya starehe ndomana kama ex wake alikuwa vizuri ful kutaka kujirudisha rudisha .. mimi hata mtu aweje tukishaachana sinaga mambo ya kuomba omba. NEVER. As long as bora uzima maisha ni matokeo... haaaaaaaa Sina vya kushobokea ex

cc Smart911
 
6046236d248ab7f00dc3ee6d92d9fe6d--breakup-humor-funny-gifs.jpg
 
Mwache aende, na usiendelee kupokea mizigo yake pia vunja mawasiliano ya aina yoyote
 
Mwezi huu mapenzi yameshika kasi sana ....pole na wewe mblock
 
Tatizo wengine wanaendekeza sana shida na maisha ya starehe ndomana kama ex wake alikuwa vizuri ful kutaka kujirudisha rudisha .. mimi hata mtu aweje tukishaachana sinaga mambo ya kuomba omba. NEVER. As long as bora uzima maisha ni matokeo... haaaaaaaa Sina vya kushobokea ex

cc Smart911
Sjazoea kuomba, na siwez kuomba, mimi hua nasema na shida zangu, ukiacha kuendekeza shida na starehe wengine ni kutojua thamani yake,
 
Kwako alipenda bila kujua kuwa keshapenda, kuna vitu unavyo ambavyo kwa mtarajiwa wake hakuna/havipati so anataka kuvipata toka kwako ili asipungukiwe au asione sana mapungufu ya mtarajiwa wake.
Binafsi naweza kusema uamuzi uliochukua ni sahihi sana maana jamaa anataka kukufanya spea tairi baadae.
Nakushauri kupunguza zaidi ukaribu wako na yeye na kuishi maisha yako atakuheshimu siku zote za maisha yake hata kama atakununua miaka yote.
 
Kama hujawahi kujuta katika maisha,jaribu kiruhusu anachotaka/kuheshimu hisia zake ambazo ni mchanganyiko wa tamaa na kujilaumu kwake. Nakuambia utajuta na kujiona huna bahati maishani.

Naona hata kuja kuomba ushauri hapa na kama ameshakuwin kiakili. Hebu ipende AMANI ya moyo wako
 
Back
Top Bottom