DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Wewe hujatulia inaonekanaNilikua nae but tumeachana tayari.
Huyu anatulisha matango poriSijapata kuona mahusiano kama haya, mbona mapenzi yenu yana masharti?
Chinekeee!
Hahahaaaaaa, hii inaitwa mbinu shirikishi mkuu.Huyo jamaa hakuoi wewe wala huyo demu wake mpya, kiufupi jamaa ni muhuni tu, na hiyo mbinu ya kukuchunia ndio huwa mbinu yetu ya mwisho ambayo hakuna kiumbe cha kike kinaweza kuruka hiyo, kama ni salaha basi jamaa hapo kavuta silaha ya nyuklia, na kadri utakavyoendelea kushangaa anavyokuchunia ndo jamaa anafurahi hapo.
Alikuja?Njoo Pm kwanza tujadili vizuri