X ameninunia!!!

X ameninunia!!!

Amegundua kua wewe ndio ulikua na upendi wa dhati kwake, thamani uliyokua unampa haipati huko aliko so bado anatamani ukaribu na wewe, angalia moyo wako wasemaje na yeye alivyo hata mkija rudiana mnaweza kuishi bila makwazo mengi, bila shaka unamjua vizuri, angalie tu asikutumie kwa manufaa yake sio ya wote
 
Huyo jamaa hakuoi wewe wala huyo demu wake mpya, kiufupi jamaa ni muhuni tu, na hiyo mbinu ya kukuchunia ndio huwa mbinu yetu ya mwisho ambayo hakuna kiumbe cha kike kinaweza kuruka hiyo, kama ni salaha basi jamaa hapo kavuta silaha ya nyuklia, na kadri utakavyoendelea kushangaa anavyokuchunia ndo jamaa anafurahi hapo.
Hahahaaaaaa, hii inaitwa mbinu shirikishi mkuu.
 
Achana nae hana issue huyo, kwanini alikuacha akiwa bado anahitaji msaada kutoka kwako?
 
Tupe mrejesho mkuu. Ulifanya maamuzi kulingana na ushauri wetu au ulifanya kulingana unachokiamini? Jamaa anasumbua bado?
 
Back
Top Bottom