Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 5,067
- 4,434
Wala mie siwaangalii watu.:spy:
Kongosho hii ni nini tena?humwangalii nani hapa jamvini? Kwani una mtalaka wako yuko hapa jamvini anakuita sivyo na unamsubiri uone ataandika nini jinsi anavyokuita?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala mie siwaangalii watu.:spy:
Kongosho hii ni nini tena?humwangalii nani hapa jamvini? Kwani una mtalaka wako yuko hapa jamvini anakuita sivyo na unamsubiri uone ataandika nini jinsi anavyokuita?
Mbona sana tu mkuu! Maana ikitokea umebamizwa au umekereka kule huwezi kukimbilia kule kwenye ma-stress unakula kona ya huku!!!mkuu hadi huku mtaa wa saba unafika..
Mbona sana tu mkuu! Maana ikitokea umebamizwa au umekereka kule huwezi kukimbilia kule kwenye ma-stress unakula kona ya huku!!!
Ila watu wanaachana jamani, duh! Kuna binti niliwahi kuwa naye yeye alikuwa na ma - X kadhaa. Mimi niliwashtukia watatu. Sijui walikuwa active, maana alikuwa anabadili badili majina yao kwenye simu yake!
Ikafika kipindi tukaachana. Sijui na mimi amenisevu vipi maana kuna wakati huwa ananisumbua kwenye simu!