X Girl friend kaomba tuonane kesho the whole day

Nduka Original

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,012
Reaction score
817
My Ex kaniomba sana kesho tuonane tu spend muda wakutosha kwa gharama zake mwenyewe. Amesema yuko so much stressed with her love affairs hivyo anataka nimshauri.

Mimi kwa sasa nimeshaoa tangu tuachane four years back na sitaki kabisa mambo ya ku cheat.

Unahisi atakuwa anataka kuongea tu au na mambo mengine? Mimi nimemwambia tukutane kwenye restaurant sehemu ambayo haina rooms ili kuepuka vishawishi.
 
Mkeo anajua huo mualiko?.... Hutaki ku-cheat sio?
Sheitwan yupo bize kwenye simu zenu....wewe na EX wako....

Heshimu ndoa yako....delete huo mualiko........kiporo hakichunguliwi....kipo ili kiliwe....ulikimwaga au ulikihifazi.....?..

Tukutane kikao cha wanaume leo ijumaa.....es lava.....
 
Nenda na UPT na Bioline HIV test,ikiwezekana mpime na aina zote za hepatitis

Fanya vipimo kabla ya chochote
Sisi maex wa kike tunakuwaga na kinyongo cha maisha
 
Nenda na UPT na Bioline HIV test

Fanya vipimo kabla ya chochote
Sisi maex wa kike tunakuwaga na kinyongo cha maisha
Kwa sisi tunaonena ya rohoni hofu haipo kwenye Bioline na UPT etc...

Kwenye roho tunaona mengi yajayo. Tena kama huyu jamaa ameshaoa na katulia na ndoa yake na huyu msichana bado yupo yupo tu ni tatizo hiloo.. Ajipange kweli maana anguko kuu lamjia.
 
Unapenda ngono za kiajali?
Kwani huwezi kujiuzuia?
Atakubaka?
Tuwe wanaume wenye maamuzi
 
Mbinu pekee ni kukaa mbali na vishawishi ikiwemo mawasiliano.

Imagine wewe your ex mnaongea nini yaani zaidi ya kukumbushiana na kuendeleza yasiyofaa (mnakua michepuko iliyokomaa)

sasa kama mbususu yenyewe inataka kidume uendelee kuigegeda shida ipo wapi?
wewe bwana kuweka tumaini lako pekee kwa mke utakuja kujinyonga siku. labda kama umeoa bikra lakini sio hawa breki pumbu ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…