Ukifika utaambiwa agiza chochote unachotaka kula, wakat mnasubia order atakuwa anajifanya hayuko normal kabisa.....ataanza kwanza samahan Frank (najua unaitwa frank ndo wenye hizi tabia), najua nilikukosea kulikopelekea tukavunja mahusiano yetu, ni ukweli usiopingika nilikukosea sana kukuacha mtu tuliekuwa tumeendana kwa vitu vingi sana na ulijua namna ya kuishi na mm pamoja na changamoto ndogo ndogo za hapa na pale.
Huku nilipokuja kutumbukia (mmewe wa sasa) ni Mungu anisaidie, atatoa leso atajifuta machozi kuonesha yupo kwenye hali mbaya sana, najua hapo utamsogelea kumsaidia kufuta machozi na kumsihi asilie. Hapo hapo shetan atashuka kwa kishindo na kupoteza kumbukumbu viapo na msimamo uliokuwa umejiwekea kabla ya kukutana nae, kama mtakuwa sehem ya waz ataomba alipie sehem ya faragha akueleze mlolongo wa ya anayopitia ...hapo mlipo kaa atasema panamchoresha na watu watashangaa kwa nn analia.
Najua sasa utamkubalia mwende faraga, trust me huko room atafika atajiweka kifuan kwako na kukuomba misamaha as if ww ndo chanzo cha stress na hutaambiwa kitu ila kutiana.
Lengo kuu la yeye kutaka kutiana na ww ni eidha kamhisi au kamkamata mmewe anamega kasichana sasa wanawake 90% huwa wakigundua wamesalitiwa huwa mara moja hutaka kupooza nafsi zao na wao kwa kuliwa, kwa vile wao sio watongozaji basi kimbilio la kwanza ni ma x zao. Endapo wangekuwa watongozaji kama sisi wanaume basi angeingia mtaani na kusaka mtabibu amsugue.
Kingine ni labda mmewe hajampa mimba na anataka mimba hivyo anaitafuta kwa nguvu
Cha tatu kashauri madam hapo juu STDs
Sent using
Jamii Forums mobile app