X Girl friend kaomba tuonane kesho the whole day

sasa kama mbususu yenyewe inataka kidume uendelee kuigegeda shida ipo wapi?
wewe bwana kuweka tumaini lako pekee kwa mke utakuja kujinyonga siku. labda kama umeoa bikra lakini sio hawa breki pumbu ndugu yangu.

Duuuu, break pumbu ndiyo nini tena
 
Punguza stress alafu relax usiabudu sana hayo mambo kama umeoa kaa na mkeo kwa kutulia.
ah mbona kurelax unarelax tuu ukishajua kuwa mbusus ya mkeo inaweza sasambuliwa na njemba wengine wala hupati pressure
 
Kuachana sio Uadui, Kuwa huru kumshauri kutokana na uzoefu wako, tumia hekima sana kwani wanawake wana mihemko, unaweza ukashindwa kumpa jibu sahihi kwa kutoa taarifa zisizo sahihi ili kupata huruma
 
Una miaka mingapi!? Hili nalo linahitaji ushauri?
 
Heshimu ndoa muage mkeo kwanza
 
Nyani kakumbuka pori lake.....

Sasa mkuu umekuja kuchukua kibali cha kwenda kuonana au???

Maana kama hutaki kumnyandua na anataka mazungumzo tu na ww hutaki kuchepuka mwambie aje nyumbani kwako tu kama Vp[emoji23]
 
Msitutenge na sie jomoni.Nitakuwepo es lava pia nitakuwa counter nina rasta ulizia Masham Tajiri.
 

Atakuwa na plan yakukuingiza ulimu kule ukikubali taratibu marinda unayapoteza wakati ni nyara za serikali
 
Hapo anarudi na vizizi kutoka Tanga anakuwekea kwenye papuchi anaogea nk. Wanawake wa siku hizi washirikina sana hata kama ni msomi vipi. Kafurahie kupiga game tena kwa kupania kitakachofuata siku zijazo itakua siri yako
 
Sasa mbona jibu unalo
 
Kuonana 'the whole day' ni kugegedana.

Maamuzi ni yako, hamchelewi kumsingizia shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…