Tutopona jamani na hiyo hepatitis. Tunajitahidi kuepuka ukimwi Ila hepatitis na homa ya ini ni balaa jingineNenda na UPT na Bioline HIV test,ikiwezekana mpime na aina zote za hepatitis
Fanya vipimo kabla ya chochote
Sisi maex wa kike tunakuwaga na kinyongo cha maisha
Tutopona jamani na hiyo hepatitis. Tunajitahidi kuepuka ukimwi Ila hepatitis na homa ya ini ni balaa jingine
Ngoja Mimi nijipange nikachanje kabisa ili niwe salamaLakini chanjo zake zipo
Mleta mada anaonekana hajiamini,japo hataki kucheat lakini anaonesha possibilities zipo...ni heri angalau achukue tahadhari ya magonjwa asije kuyapeleka nyumbaniTatizo sio kwenda na vipimo, kwa hiyo unataka kusema Kama ni mzima afanye nae uzinzi
Swala la kuangalia ni mustakabali wa familia yake na sio kwamba ex wake ni mzima au la
Yaan Leo nimecheka km chizi aseeeeh.[emoji16][emoji16]