Nawatakia wachaga wote Xmass njema. Najua sasa hivi moshi pamechangamka sana. Niliwahi kualikwa na rafiki yangu Mmoja maeneo ya URU kwa kweli ilikuwa burudani..Kwanza siku hiyo watu wote lazima waende kanisani...Wanabaki kina mama wachache kuandaa makulaji...Pia kunakuwa na vijana wanachinja mbuzi kwa ajili ya supu na KISUSIO! Raha kweli Moshi!....Mbege nayo inakuwa haiko mbali saaafi sana Moshi! Mwisho wa Siku mziki Mkubwa unapigwa...AMA REGGEE AU MIZIKI YA AFRIKA KUSINI...Yakina IVON CHAKACHAKA, JELI MAFURA,NTOMBI MARUMBINI,MANEMANE,VULINDELA n.k....................MOSHI RAHA MOSHI WE ACHA..nilitamani nibadilishe kabila