Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,768
- 2,361
Mnaoenda likizo safari njema, yasijewakuta makubwa mliozoea mjini kama huyu jamaa yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah huyo jamaa vipi mbona akimbia mboga?
kuna cha mboga apo!
Akikufurumisha hivyo ndo ulikuwa unachimba dawa kubwa dah noma kweli kweli
hujui hilo dude kwetu mboga?
Kweli kabisa....hata kitimoto inona wivu nyama ya hii kitu