X-mas Offer

X-mas Offer

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
55,727
Reaction score
123,094
X-mas hii nitakuwa mwenyewe natoa offer kwa binti mrembo ambae nae siku hii atakuwa mwenyewe na anahitaji company.

Offer hii ni kwa jumamosi,jumapili na itahusu chakula,vinywaji na malazi katika hotel kuanzia nyota tatu

Angalizo: Niko serious. Behaviourist atoto msilete utani.
 
au domo zege? wadada kibao mtaani unakosa mtu kweli mkaka mzuri hivo? ungekuwa unapenda watu wanene ningekuja
Wewe naona unataka kuniharibia. Kwani mnene hawezi kuwa mrembo?
 
Back
Top Bottom