Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jukwaa linaitwa love connnectKwani lengo la hili jukwaa ni nini mkuu?
Ndo umeamua kuniumbua[emoji276] [emoji57] [emoji30] [emoji30] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Umemuaga Compact ?
Mimi nafikiri ungepita maanake naona povu linakutoka bila sababu ya msingi. Kwahio love connect imewekwa kwa ajili ya kutafuta mwenza wa maisha tu?Jukwaa linaitwa love connnect
huyu anataka ku spend tu na mwanamke sikukuu ya xmass...
alaf anasema atamlipia chumba mwanamke then yeye ataenda nyumbani kulala...uongo uliotukuka
kwani love connect ni ya kutafuta "one night stand" au "ofa za sikukuu" ama kutafuta mwenza wa maisha ...
club na sehem za starehe wamejaa sana tena wako lonely wengine utawaona tu
Mkuu usikubali akakutega alafu baadae nikaja kichwa. Huyu achana naye kabisa Mkuu,alafu scorpio me jiangalie we mwanamke,siku hizi sikuelewi.Umemuaga Compact ?
Yawezekana upo sahihi, lkn pia wanaweza wakakonektiana hukohuko km watavutiana, mahusiano yana namna nyingi ya kuanza.Jukwaa linaitwa love connnect
huyu anataka ku spend tu na mwanamke sikukuu ya xmass...
alaf anasema atamlipia chumba mwanamke then yeye ataenda nyumbani kulala...uongo uliotukuka
kwani love connect ni ya kutafuta "one night stand" au "ofa za sikukuu" ama kutafuta mwenza wa maisha ...
club na sehem za starehe wamejaa sana tena wako lonely wengine utawaona tu
Hivi wewe ndio uliniambia nikupe kazi kweli!!!![emoji134] [emoji134] [emoji134]Nimeishakutumia PM nasubiria majibu kama nimekubaliwa
Sie waarabu wa pemba tunajuana si kwa hilo lakini ni mambo mengine tofautiHivi wewe ndio uliniambia nikupe kazi kweli!!!![emoji134] [emoji134] [emoji134]
Miss umepinda wewe wallahsi bora nitulie nyumbani kuliko kwenda kugegedwa bure ? hapo kuna faida gani hata shoping hakuna?
Wewe hutoi ofa?Kwan lazima mje jf..hamuez tafuta humo humo mtakapokua mbona wamejaa wengi sana...mana mabango yamejaa humu ofa ofa ofa ..mnaboa
Tumekuudhi nini?Wa mtaani hawako sophistificated,hawana exposure kubwa kama wa jf,
hawa viumbe hawangekuwa wameniudhi nami ningesakanya humu humu
Sie waarabu wa pemba tunajuana si kwa hilo lakini ni mambo mengine tofauti
Origin ni Oman but nimekulia pemba.Sasa haukunipitia tuongozane uwanjani ndio maana si unajua huwa nina kismat...[emoji124]Kumbe wewe ni Mwarabu wa Pemba? Mie nilidhani ni Mwarabu wa Oman 🙂🙂🙂 hukuja jana kule tukaishia kufungwa nakulaumu kwa kutukosesha 3 points.
Origin ni Oman but nimekulia pemba.Sasa haukunipitia tuongozane uwanjani ndio maana si unajua huwa nina kismat...[emoji124]
Mie zote zote tu uwe unanipitiaOkay sasa nimeelewa mie nilidhani games kubwa kubwa unakuja mwenyewe uwanjani, hizi za mchangani ndiyo nikupitie.
Hapana aiseeeWewe hutoi ofa?