X-mas Offer

Hapana. Namlipia chumba halafu mimi naenda kulala nyumbani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aiseeee!!!
Kwani yule mwanaeksipozha atakuwa wapi?

Yaani kila ukitoa opportunity sifa zinagoma, why kutengana namna hii lakini?
 
Aiseeee!!!
Kwani yule mwanaeksipozha atakuwa wapi?

Yaani kila ukitoa opportunity sifa zinagoma, why kutengana namna hii lakini?
Wewe hukutakiwa uone wa ku comment.
 
Kwan lazima mje jf..hamuez tafuta humo humo mtakapokua mbona wamejaa wengi sana...mana mabango yamejaa humu ofa ofa ofa ..mnaboa
 
Kwan lazima mje jf..hamuez tafuta humo humo mtakapokua mbona wamejaa wengi sana...mana mabango yamejaa humu ofa ofa ofa ..mnaboa
Kwani lengo la hili jukwaa ni nini mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…