X-mas Offer

Kwan lazima mje jf..hamuez tafuta humo humo mtakapokua mbona wamejaa wengi sana...mana mabango yamejaa humu ofa ofa ofa ..mnaboa
Samahani kwa kukukwaza. Hili jukwaa linaitwa Love Connect.
 
Kwani lengo la hili jukwaa ni nini mkuu?
Jukwaa linaitwa love connnect
huyu anataka ku spend tu na mwanamke sikukuu ya xmass...
alaf anasema atamlipia chumba mwanamke then yeye ataenda nyumbani kulala...uongo uliotukuka
kwani love connect ni ya kutafuta "one night stand" au "ofa za sikukuu" ama kutafuta mwenza wa maisha ...
club na sehem za starehe wamejaa sana tena wako lonely wengine utawaona tu
 
Mimi nafikiri ungepita maanake naona povu linakutoka bila sababu ya msingi. Kwahio love connect imewekwa kwa ajili ya kutafuta mwenza wa maisha tu?

Halafu wewe ni nani mpaka unisemee nataka nini na ninachotaka kufanya nimeweka hapo juu? Nimesema nitamlipia chumba na nitaenda kulala nyumbani kwasababu sitafuti mwanamke wa kulala nae.

Btw najua wanawake wapo nje ya jf ila mimi nataka wa jf kama hilo linakukera sio tatizo langu. Life is too short.
 
Yawezekana upo sahihi, lkn pia wanaweza wakakonektiana hukohuko km watavutiana, mahusiano yana namna nyingi ya kuanza.
 
Reactions: BAK
Wa mtaani hawako sophistificated,hawana exposure kubwa kama wa jf,
hawa viumbe hawangekuwa wameniudhi nami ningesakanya humu humu
 
Kumbe wewe ni Mwarabu wa Pemba? Mie nilidhani ni Mwarabu wa Oman πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ hukuja jana kule tukaishia kufungwa nakulaumu kwa kutukosesha 3 points.

Sie waarabu wa pemba tunajuana si kwa hilo lakini ni mambo mengine tofauti
 
Kumbe wewe ni Mwarabu wa Pemba? Mie nilidhani ni Mwarabu wa Oman πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ hukuja jana kule tukaishia kufungwa nakulaumu kwa kutukosesha 3 points.
Origin ni Oman but nimekulia pemba.Sasa haukunipitia tuongozane uwanjani ndio maana si unajua huwa nina kismat...[emoji124]
 
Okay sasa nimeelewa mie nilidhani games kubwa kubwa unakuja mwenyewe uwanjani, hizi za mchangani ndiyo nikupitie.

Origin ni Oman but nimekulia pemba.Sasa haukunipitia tuongozane uwanjani ndio maana si unajua huwa nina kismat...[emoji124]
 
Mkuu hapo kwenye malazi ungefafanua kidogo. Malazi kila mtu analala mwenyewe au we muoga unatakaga kulala na mtu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…