X-Mass in pictures Moshi, Arusha, Dar, Mwanza, Dodoma, Mbeya, Tabora, nk

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Heri ya Xmass wana JF! Karibuni tusherehekee xmass japo kwa picha. Share picha za shamra shamra za xmass hapa kutoka popote ulipo, pamoja wana JF.
 
Unataka upime nini? Wengine hawana shamra shamra za hivyo. Wengine Christmas kwao hukusanyana na kushindana au kychangishana lakini wengune huifanya katika familia bika jirani kuhua. Wengine siyo tukio la tarehe 25 na 26 tu bali ni mwezi wa kutafakari kujipima, na kujiandaa na mwaka mwingine na maisha mapya.
Style ya sehemu moja haiwezi kufanana na ya sehemu nyingine. Tamaduni na historia ni tofauti sana.

Chrismas siyo UMISETA hata utake kuifananisha kiasi hicho.
 
wengi ni wajinga na wapenda vya kuiga bila tafakuri ya kina kuhusu maisha tuliyonayo ambayo yana changamoto nyingi........
Ni wakati sasa wa Familia kuweka mipango na Malengo..... .....
 
Back
Top Bottom