Unataka upime nini? Wengine hawana shamra shamra za hivyo. Wengine Christmas kwao hukusanyana na kushindana au kychangishana lakini wengune huifanya katika familia bika jirani kuhua. Wengine siyo tukio la tarehe 25 na 26 tu bali ni mwezi wa kutafakari kujipima, na kujiandaa na mwaka mwingine na maisha mapya.
Style ya sehemu moja haiwezi kufanana na ya sehemu nyingine. Tamaduni na historia ni tofauti sana.
Chrismas siyo UMISETA hata utake kuifananisha kiasi hicho.