X (TWITTER) NDIO MTANDAO MBAYA ZAIDI NA HATARI ZAIDI

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
huu ndio mtandao mbaya zaidi na hatari zaidi. Kama wewe ni mtu wa pornography, basi X ni hatari sana kwako. Addiction yake haielezeki. Kuna content ambazo huwezi hata kuamini macho yako, zitakushangaza sana. Cha kusikitisha zaidi, kuna hata video za ngono zinazowahusisha watoto wadogo kabisa.

Kwa kweli nashindwa kuelewa kwanini Elon Musk ameshindwa kudhibiti maudhui ya aina hii kwenye mtandao wake. Hivi inawezekanaje mtandao mkubwa kama X ukaendelea kuwa na maudhui ya kutisha kiasi hiki? Kwa upande wangu, naipongeza sana Serikali ya Tanzania kwa kuifungia X.
 
Unaipongeza serikali kwa kufungia mtandao wa x na huku takribani kila siku taasisi za serikali zinatoa taarifa zake kupitia mtandao wa x, haya ni maajabu.

BTW mtandao wa x unakupatia maudhui kulingana na vitu unavyopenda kufuatilia, algorithim inasoma muenendo wa muingiliano wako na maudhui mbali mbali unayoyafuatilia, kama wewe ni mpenzi wa ‘chudai’ basi mtandao wa x utahakikisha unakupatia content hizo huku ukikutadharisha kuwa content hizo ni sensitive hivyo akili ku mkichwa.
 
Kuhusu algorithm tunajua sio twitter tu kote hata kwa meta Ila je ndo content za ngono za watoto washindwe kuzikomesha
 
Ndugu yangu huwezi amini ngono za watoto kbs wadogo wanabakwa zipo twitter mpaka unabaki unajiuliza au ni AI hii lakini Hapana
hivi si kuna kipindi sites za porn zilifungiwa means watu wamepewa mbadala tena za kibongo kabisa asee ndo maana kesi za watu kujinyonga zimekua nyingi nowdays
 
Nahisi twitter imefungiwa bongo me siko Tanzania ndo maana napata access nayo nasikia tu mpaka uwe na vpn
 
Kuhusu algorithm tunajua sio twitter tu kote hata kwa meta Ila je ndo content za ngono za watoto washindwe kuzikomesha
Wewe umewahi kukutana nazo? Ulifuatilia subpoena ya mark zuckberg ama Elon musk kwenye US senate kuhusu uwepo wa video za underage kwenye platform za meta & x?
 
Tangu jina lilipobadilishwa kutoka Twiter kwenda X ... post 4 kati ya 10 zina maudhui ya ngono
 
Unaipongeza serikali kwa kufungia mtandao wa x na huku takribani kila siku taasisi za serikali zinatoa taarifa zake kupitia mtandao wa x, haya ni maajabu.

BTW mtandao wa x unakupatia maudhui kulingana na vitu unavyopenda kufuatilia, algorithim inasoma muenendo wa muingiliano wako na maudhui mbali mbali unayoyafuatilia, kama wewe ni mpenzi wa ‘chudai’ basi mtandao wa x utahakikisha unakupatia content hizo huku ukikutadharisha kuwa content hizo ni sensitive hivyo akili ku mkichwa.
Safi kaka.

You attract what you are, and not what you want
 
Back
Top Bottom