ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Kuhusu algorithm tunajua sio twitter tu kote hata kwa meta Ila je ndo content za ngono za watoto washindwe kuzikomeshaUnaipongeza serikali kwa kufungia mtandao wa x na huku takribani kila siku taasisi za serikali zinatoa taarifa zake kupitia mtandao wa x, haya ni maajabu.
BTW mtandao wa x unakupatia maudhui kulingana na vitu unavyopenda kufuatilia, algorithim inasoma muenendo wa muingiliano wako na maudhui mbali mbali unayoyafuatilia, kama wewe ni mpenzi wa ‘chudai’ basi mtandao wa x utahakikisha unakupatia content hizo huku ukikutadharisha kuwa content hizo ni sensitive hivyo akili ku mkichwa.
X ni hatari kaka video za baikoko za bongo watu wanafukuana mitaro live livex & snap chat naziskiaga tu kwa watu
duh mbona hatari sanaX ni hatari kaka video za baikoko za bongo watu wanafukuana mitaro live live
duh mbona hatari sana
duh mbona hatari sana
hivi si kuna kipindi sites za porn zilifungiwa means watu wamepewa mbadala tena za kibongo kabisa asee ndo maana kesi za watu kujinyonga zimekua nyingi nowdaysNdugu yangu huwezi amini ngono za watoto kbs wadogo wanabakwa zipo twitter mpaka unabaki unajiuliza au ni AI hii lakini Hapana
hivi si kuna kipindi sites za porn zilifungiwa means watu wamepewa mbadala tena za kibongo kabisa asee ndo maana kesi za watu kujinyonga zimekua nyingi nowdays
Zikomeshe weweKuhusu algorithm tunajua sio twitter tu kote hata kwa meta Ila je ndo content za ngono za watoto washindwe kuzikomesha
Wewe umewahi kukutana nazo? Ulifuatilia subpoena ya mark zuckberg ama Elon musk kwenye US senate kuhusu uwepo wa video za underage kwenye platform za meta & x?Kuhusu algorithm tunajua sio twitter tu kote hata kwa meta Ila je ndo content za ngono za watoto washindwe kuzikomesha
Unaipa promo bila kujua wala kutaka....kweli mzungu kibokoX ni hatari kaka video za baikoko za bongo watu wanafukuana mitaro live live
Safi kaka.Unaipongeza serikali kwa kufungia mtandao wa x na huku takribani kila siku taasisi za serikali zinatoa taarifa zake kupitia mtandao wa x, haya ni maajabu.
BTW mtandao wa x unakupatia maudhui kulingana na vitu unavyopenda kufuatilia, algorithim inasoma muenendo wa muingiliano wako na maudhui mbali mbali unayoyafuatilia, kama wewe ni mpenzi wa ‘chudai’ basi mtandao wa x utahakikisha unakupatia content hizo huku ukikutadharisha kuwa content hizo ni sensitive hivyo akili ku mkichwa.